Nyie wanawake mnaotaka kuolewa na REAL MAN je. nyie ni REAL WOMEN, si vicheche.Wanawake siku hizi ni Gold digger, ndo maana mnaunga foleni kwa mwanaume mwenye fedha. Kwa nini mwanamke mwenye kipato hataki kuolewa na mwanaume asie na kipato?Kwanini mwanamke mwenye elimu hataki kuolewa na mwanaume mwenye elimu duni?wote wanataka wanaume wenye pesa au wenye elimu. wanawake amkeni, acheni kulalamika. Nina mfano, nina kazi na mshara mzuri tu wa graduate, nikawa na demu wangu nataka nimuoe, akaja mara ghafla nikasikia anaolewa na lijamaa la miaka 40, kisa tu lijamaa lina magari. sasa mwanamke kama huyo atakuwa amemchunguza hilo dume, je akija kuchakachuliwa ana haki ya kulalamika? Shame on you women who are after money. I need to marry but you women are dissappointing me!!!
Nimeona. Japo sijaelewa kwanini uhusishe na kutwangana badala ya kumuelimisha na kureplace huo upumbavu wake na elimu. Nwy nna yangu inaenda hivi "Ujinga haina bei, yeyote anaweza aka'afford."OK ngoja niidanike hapa
MTU MPUMBAVU HATA UKIMTWANGA KWENYE KINU PAMOJA NA NGANO UPUMBAVU WAKE HAUMTOKI
umeiona?
Mpumbavu ni mtu anayejifanya anajua kumbe hajui. Na nikimbelembele na hataki kuelimishwa hata kwa kutumia nguvu ya namna gani.Nimeona. Japo sijaelewa kwanini uhusishe na kutwangana badala ya kumuelimisha na kureplace huo upumbavu wake na elimu. Nwy nna yangu inaenda hivi "Ujinga haina bei, yeyote anaweza aka'afford."
Owwkey. .Mpumbavu ni mtu anayejifanya anajua kumbe hajui. Na nikimbelembele na hataki kuelimishwa hata kwa kutumia nguvu ya namna gani.
Ndio maana yake kwa ufupi sana.
Kheri ukawa mjinga kuliko Mpumbavu
Mjinga hufundishika. FUNGUKA
Kuolewa ni bahati bali kuoa ni mipango yako tu. Ila sasa kazi ipo who is right. Mpaka ukae nae mda kidogo.Owwkey. .
Nifunguke wapi tena?
Owwkey.Kuolewa ni bahati bali kuoa ni mipango yako tu. Ila sasa kazi ipo who is right. Mpaka ukae nae mda kidogo.
Kwetu wanaume tunamahitaji machache sana kwa mwanamke
1. Kitanda kiwe kizuri
2.Utii
Hapa wenye ndoa zetu tunaruhusiwa kuchangia mada?
Kama tunaruhusiwa basi napenda kuwafahamisheni kuwa uzoefu na kaumri nlikonako nimeshayaona mengi ambayo nimeamua mwenyewe kukonkludi kuwa:
KUOLEWA NI BAHATI NA KUOA NI UAMUZI.
Swali, kama kuolewa si bahati utaishi/ataishi kwenye ndoa? ndoa zote ni bahati nasibu ama upate...au upatikane. Ukipata bahati unabaki kwenye ndoa, ukikosa unapigwa talaka.Jaribu kuwa muelewa, nilichosema ni kwamba kitendo cha kuolewa tu pekee(na mtu yeyote yule) sio bahati, bahati ipo kwenye kumpata mtu ambae anaelewa maana ya mahusiano yake (mwenye heshima, kujali, mwaminifu n.k).
Unaweza kuamua kuolewa, kama ndoa unayoizungumzia ni ile ya jinsia moja. Lakini kama ni ya kuolewa na mwanamme nahofu hutakuwa na kuamua kuolewa ila utabahatika.Haya bana. . . I guess siku nikiamua kuolewa hutotaka kadi ya mwaliko.
Kuolewa maamuzi.
Namshukuru mungu nilipata mke mtiifu na mwenye busara, nami nampenda sana. Anajua fika kuwa yeye ni Mke na anatambua kuwa mimi ni Mume. Nina furaha sana. Hii jamii ya wanawake wa leo , kadri wanavyoelimika, wanazidi changanyikiwa na kusahau maadili yao.
Binafsi siamini wala sioni ni kwa namna gani "kuolewa ni bahati". Kwangu mimi bahati ipo kwenye kumpata mtu ambae anaelewa nini maana ya ndoa na kuiheshimu ndoa yake, anaempenda mwenzi wake, anaemheshimu mwenzi wake pamoja na mawazo yake, anaemsikiliza mwenzake, anaejielewa na kujitahidi kumwelewa mwenzake, aliye tayari kujitoa kwa mwenzake, anaejua na kutimiza majukumu yake, anaejitahidi kumfurahisha mwenzake kwa maneno na matendo. Vivo hivyo kwa wanaume. . . . wenye bahati sio waliooa bali ni waliooa wanawake wenye sifa nilizotanguliza hapo juu.