Kuolewa na mwanajeshi


Huwa naskia sana kuwa hawa watu hawatuliagi sasa sijui kweli.But inategemea na mtu coz kuna mtu akipenda anatulia
 
Smart women marry rich men.Huyo hapana aisee .Utakufa maskini wewe shauri yako.Tafuta mwanaume anaejituma kipesa.Utaishia kukaa gongolamboto wewe ok
It depends.Kuna mtu ukiwa nae unamsoma kama ni mpenda maendeleo au vipi.Hata katika story zenu utagundua so hata yeye atakuwa anajua kwa muda aliokaa naye kama ni wamaendeleo ama vipi
 
Kabla ya kumuacha huyo jitathmini unatongozwa mara ngapi kwa mwaka. Unaweza ukamuacha huyo ukasotea benchi mda mrefu... Riziki Mungu anapanga. Huoni Sisi ni mwanajeshi na ndiye amekuwa raisi wa Misri? Kwa hiyo wanajeshi hawastaili kuoa?
 
Profession au kazi ya mtu haina uhusiano na personality ya mtu.
 
Utapigwa bunduki kila usiku....shauri yako
 

mshauri mzuri pekee wa jambo hili ni Mungu mama, sugua goti usali utapata majibu sahihi
 
dada hata Magufuli ni mwalimu lakini ndoa yake ina matatizo
 
achana na maneno ya watu weye. songa mbele. so unamaanisha ndoa zote zenye matatizo ni wanajeshi.
 
kwanza nikupongeze kama mmefikia hatua ya kutaka kutambulika kwa wazazi ili mfunge ndoa.
tambua kuwa kazi au fani ya mtu haihusiani na atakuwaje ndoani, nadhani kama ni mstaarabu ni mstaarabu tu jeshi halihusiani, akishajitambua yeye ni nani kwako ataacha nyota zake kazini akifika nyumbani ni baba wa familia.

kama mnapendana usisikilize ya walimwengu kwani ni mengi na yatakukatisha tamaa, wew ndio utaenda kuishi nae na ndie unamjua vizuri.
mwombe mungu sana katika kipindi hiki cha uchumba kwani huwa ndio shetani huingilia kati kuwavuruga.
sema na moyo wako na umshirikishe mungu pia. angalia amani ya moyo wako ikoje juu yake, kama ni mwenye furaha kuwa nae go ahead.

ni kweli kosea vyote ila sio mwenzi wa maisha, sasa kwa vile maisha ni yako, maamuzi yapo mikononi mwako.
 
Baadhi ya dada zetu wanapitia kipindi kigumu sana. Wapo kuangalia title ya mtu badala ya kuangalia mambo ya msingi yanayojenga ndoa.
 

mkuu nimekukubali kweli wewe ni great thinker.
 
kaolewe na mwalimu wa primary uone radha ya serikali ya magufuli nacho jua wanajeshi ni magentleman
 
Wewe mbona mzuri ebu achana na hilo lipalianda tafuta wahasibu wamejaa kibao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…