Kuolewa na mwanajeshi

Mwanaume kuwa Mjeda haina tatizo,ila Kumuoa mwanamke Mjeda ndio kuna walakini hapo...!!!
 

Hahaha...huyu hajagundua hilo la Security.
 


Wewe Utakuwa FFU wa kanda maalumu ya Tarime.
 
Jiandae kuwa maskini au familia kutokuwa na maendeleo,,,,mostly wajeda ni wahuni na walevi na wagumu ktk kufanya maendeleo hii yote kutokana na mfumo wao wa kazi jinsi ulivo but sjui huyo shemeji yetu yukoje,,,,,,,but nyumba bora hujengwa na position ya mwanamke so choice id urs.mchunguze vya kutosha ujiridhishe sikiliza pande zote mbili,,,ndoa ni wewe lakini baraka za wazazi ni muhimu dada,,bila wazaz wako huyo mjeda asingekujua na ndoa yenye baraka wazazi wawe kiroho safi,,mshirikishe mungu sana ndoa za sasa ivi ni.kama bongo muvi
 

Ndo wanajeshi wenyewe hawa kimbiaaa mdogo wangu
 

It seems like you don't wanna get married.
You are too selective, mkipata mchumba mwalm mnasema hasa pesa, mkipata mkurya mnasema wanapiga,mkipata mhaya mnasema malaya,mkipata mtu asiyejua mapenz mnatafuta mwingine.
Sasa hao ndugu au rafiki zako ndo wataishi na wewe kwenye ndoa?
Je hao rafiki zako ndo watakuja kusuruhisha your conflicts?.
Unajua maana ya kumpenda mtu alivyo?
Wewe hauna mpango wa kuolewa ,nenda kwanza ukue then uje kuamua baadae.
 
Uamuzi ni wako, ila mjeshi utakuwa huna say ndani ya nyumba. Yaani utakuwa unaamrishwa tu.
 
Smart women marry rich men.Huyo hapana aisee .Utakufa maskini wewe shauri yako.Tafuta mwanaume anaejituma kipesa.Utaishia kukaa gongolamboto wewe ok
 
sikiliza ushauri wa ndgu zako hasa bint.
Hyo familia yko ndo asili ya damu yako si dhani km wanalengo baya na ww unaweza ukapenda jambo likawa tatizo kwakwo na unaweza ukachukua jambo kumbe ndo heri kwako, mapenz yapo na hyo mwanamme cyo ndo wa mwsho wapo ila waskilize jamaa zako ktk hili.
 

sawa sawa ulivyomtukana...kila kitu ushaury we una kiichaaa. unataka tukuambie usiolewe alaf akuoe nani humu
 
Smart women marry rich men.Huyo hapana aisee .Utakufa maskini wewe shauri yako.Tafuta mwanaume anaejituma kipesa.Utaishia kukaa gongolamboto wewe ok

unamfundisha mwenzio u..mallaya wako...kwani hao wanajesh wakuna wenye mali????jiuZE MWENYEWE DADA
 

Njoo uolewe ma mimi jambazi
 
Shida yao umalaya tuu... hawaridhikii sijui ni kule kufugwaa na serikali na kupewa kila kitu na nchi yenyewe kisiwa cha uvumilivuu wamejazanaa depoo tuuu hawana cha kufanya hivyo ni story za ngono tuuu wanapgaa na kutiana stimuu,kufundshana ukiwa na mwanamke mfanye hivi mbinuee vile ukiona mkeo anashindwaa tafuta wa njee
 
Mbasha na frola ni wanajeshi, we ma na diamond ni wanajeshi niambie ni kipi knachofanywa na wanajeshi ambacho raia wengne hawakfanyi kla mtu anatabia angalia mtaani kwako ni wa ngap wanaachana na co wanajeshi ndoa ngapi zinavunjika huku baadhi yao wakiwepo mashekhe na wachungaji u amazing ni wako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…