Jiandae kuwa na mitala kibao... Naongea Hilo kwa kuwa Nimetoka familia Ya Hao jamaa na kaka Zangu wote ni Wajeda lakini Hawapitwi na Pichu,,, Hasa Wanapoenda Kozi Au Mission Nje Ya Nchi.
Sikupingi...ila hyo ni fallacies kugeneralize tabia za hao watu unaowajua kwa wanajeshi wote.Kimtazamo wangu wapo hizo ni tabia za mtu...haijalishi mwanjeshi ama la...bibie amuangalie mtu wake na sikumfananisha
huwezi Kuona Madhara Yake kwasasa lakini siku Yatakapo kukuta utajua.. Lakini Kila la Heri Bibie...
eti soon atakuwa mchumba wangu, kuwa makini wenzako washaambiwa hivyo mara kibao, halafu sio unatangaza hovyo sio kila mtu anakutakia mema, kuna watu kibao humu wamejikatia tamaa,
Kwni mwanajesh hna moyo au tofaut yke ni nn? Tabia ya mtu haitokan na profsnal yke,,, unaeza olewa na dokta na bdo ukishia kulia... Weee mwachie mjeda abebe mzgo
]Huna kichaa [/SIZE]?ndo swali gani sasa I need positive suggestions only
mahali=mahari!?
progression=proffesion!?
Uko kwenye compaign nini? Hii kauli ni mara ya tatu nakuona unaitumia.
Nina boyfriend ambaye soon atakuwa mchumba wangu kwan anataka apeleke posa home na kutoa mahali ili shughuli nyingne ziendelee.Tatizo langu lililonileta hapa ni;
1.Familia yangu pamoja na marafk zangu wako against na progression yake(uanajeshi)na hii inanipa wasiwasi sana though maamzi ni ya kwetu wanasema anaweza badilika na asilimia kubwa ya ndoa nyingi za wanajeshi zimejaa matatizo ....though Mimi nimepuuza naomba Mwenye ujuzi ,ushauri kuhusu hawa watu anijuze/kunipa mwanga nisije kukosea hapa,kwani wanasema kosea yote ila sio kwenye ndoa.
2.Kwa upande wangu namuamin na napuuza hayo mameno lakin roho nyingne inaniambia inabid niwe makini na haya maamz nayokuja kuyafanya since yanahusu maisha yangu.Nawasilisha ushauri wako ni muhimu sanaaa
Kuna wanajeshi kibao wanakula makofi kitaa toka kwa wake zao
Isije ikawa na wewe ni mmoja Wa watembeza makofi
labda wa jeshi la maumau co tpdf
Jiandae kuwa na mitala kibao... Naongea Hilo kwa kuwa Nimetoka familia Ya Hao jamaa na kaka Zangu wote ni Wajeda lakini Hawapitwi na Pichu,,, Hasa Wanapoenda Kozi Au Mission Nje Ya Nchi.
Hahahahah. ..Jf is never boringKweli wanawake hawaeleweki. Si huwa mnasema mnataka security?.
Wewe mchagga na jeshi wapi na wapi?