mbaya kichiziUbovu wake ni nini, tuache kukariri bana
Angalia model ya 2023 ni kali kinyamaMmmh hii gari hata kwa milioni moja sinunui, sura mbaya sana aisee
Dah bora hii mpya kali, sio ile ya zamani front kama chura alf jamaa analazimisha watu waipendeKatika kuhakikisha Prius inakwenda kupendwa zaidi. Mwaka huu wamefanya full body re design na gari ya Prius inaweza kwenda hadi kilometre 30 kwa litre.
Imetoka ya trim mbili.
Moja ni prius ya kawaida ambayo ni 1.8L Hybrid yenye 196HP sawa na nguvu ya toyot Brevis ya 1JZ.
Ya pili ni Prius Prime ambayo itakuwa na 2.0L Hybrid engine inayozalisha 221HP. Hii ni zaidi ya nguvu ya Toyota Crown Athlete za 4GR.
View attachment 2481304View attachment 2481305View attachment 2481307View attachment 2481308
Kaka hyo 2000cc ndo balaaa 221hp mbona hatariiiiiiKatika kuhakikisha Prius inakwenda kupendwa zaidi. Mwaka huu wamefanya full body re design na gari ya Prius inaweza kwenda hadi kilometre 30 kwa litre.
Imetoka ya trim mbili.
Moja ni prius ya kawaida ambayo ni 1.8L Hybrid yenye 196HP sawa na nguvu ya toyot Brevis ya 1JZ.
Ya pili ni Prius Prime ambayo itakuwa na 2.0L Hybrid engine inayozalisha 221HP. Hii ni zaidi ya nguvu ya Toyota Crown Athlete za 4GR.
View attachment 2481304View attachment 2481305View attachment 2481307View attachment 2481308
Eeh Prius imekuwa very exciting car lately.Kaka hyo 2000cc ndo balaaa 221hp mbona hatariiiiii
Kitu kikaliKatika kuhakikisha Prius inakwenda kupendwa zaidi. Mwaka huu wamefanya full body re design na gari ya Prius inaweza kwenda hadi kilometre 30 kwa litre.
Imetoka ya trim mbili.
Moja ni prius ya kawaida ambayo ni 1.8L Hybrid yenye 196HP sawa na nguvu ya toyot Brevis ya 1JZ.
Ya pili ni Prius Prime ambayo itakuwa na 2.0L Hybrid engine inayozalisha 221HP. Hii ni zaidi ya nguvu ya Toyota Crown Athlete za 4GR.
View attachment 2481304View attachment 2481305View attachment 2481307View attachment 2481308
Iko super sanaKitu kikali
Haikawii utaiona imepaki mahali flani mjini pale pembeni ya ukuta wa shivacom 😄Iko super sana
Halafu bei yake kwa mpya haifiki hata usd 30, 000 ukiweka na shipping ndio labda inakuwa hio. Ukiweka na kodi kandamizi za kibongo inaweza kuwa around $45,000 almost million 105,000,000 hivi ila unachana makaratasi mwenyewe una uhakika gari haitokusumbua kwa miaka 10 ya mwanzo ya matumizi.Haikawii utaiona imepaki mahali flani mjini pale pembeni ya ukuta wa shivacom 😄
Halafu bei yake kwa mpya haifiki hata usd 30, 000 ukiweka na shipping ndio labda inakuwa hio. Ukiweka na kodi kandamizi za kibongo inaweza kuwa around $45,000 almost million 105,000,000 hivi ila unachana makaratasi mwenyewe una uhakika gari haitokusumbua kwa miaka 10 ya mwanzo ya matumizi.
Mkuu kumbuka hio bei sio ya mtumba ni brand new.Mil 100 kwa ajili ya hivi vigari vya kwenda sokoni?! Hujanishawishi bado
Hili gari zuri sana japo sipendi shape yake ya mbele ila nazikubali sana.Ukitaja magari kumi reliable ya toyota basi toyota prius haiwezi kosa top three, ni gari ambayo ni ngumu na reliable sanaa,comfortable ina smooth ride na nzuri sana kwa misele ya mjini na foleni hili la dar japokuwa ni ya umeme nusu yaani hybrid car
Watu wengi tunaogopa kununua prius koz inakuja na hybrid battery ambao ndo inaendesha kila kitu kwenye gari kwamba ikifa itakuaje?
Lakini hiyo ilikuaa ni hofu ya miaka 20 iliyopita dunia now imeendelea hybrid battery ya prius unaweza kuipata kwa 2m hadi 2.8m na kuifunga ni dakika 30 tu
Original Hybrdi battery ya prius inayokuja na gari inaenda 280,000km hadi 321,000km mpka ubadilishe nyingine,
Sa unaogopa nini?
Utasikia prius ina umeme mwingi sanaa, fun fact toyota crown ina umme mwingi na complex kuliko prius
Toyota prius inaedeshwa na generator moja kubwa, haina alternator kama garo nyingine, umeme wake ni simple sanaa, na hyo generator kufa ni mpka gari itakapokufa
Hyo generator inaweza washa friji, taa za nyumba, kwa kutumia invertor kipindi cha maafa kama mafuriko etc
Hii ni gari nzuri sana na inaweza kwenda 25km/L, mjini koz inatumia mfumo wa regenerativw braking, yaaaani ukiachia mafuta gearbox inawekwa into reverse mode ile friction energy inayotokea pale inabadilishwa kuwa umeme unachaji battery, ndo mana prius brake pads unaweza kutumia miaka 7, mana hazitumiki
Wenzetu ulaya wanazitumia sanaa prius na ni gari maarufu sisi tumebaki na ushamba wetu, katika gari za hybrid duniani hakuna kampuni imeweza kupambana na prius kwa reliability
Watanzania tuache woga na ushamba unaweza kupata 17m za kununua prius unaogopa 2.8m za. Kununja battery ambalo ukinunja unaweza tumia 10yrs hivi nani alituroga sisi tubadilike.
View attachment 2480016View attachment 2480018View attachment 2480021
Ukitaja magari kumi reliable ya toyota basi toyota prius haiwezi kosa top three, ni gari ambayo ni ngumu na reliable sanaa,comfortable ina smooth ride na nzuri sana kwa misele ya mjini na foleni hili la dar japokuwa ni ya umeme nusu yaani hybrid car