Kuogopa kununua Toyota Prius ni ushamba au umasikini

Kenny big

Member
Apr 18, 2021
21
114
Ukitaja magari kumi reliable ya toyota basi toyota prius haiwezi kosa top three, ni gari ambayo ni ngumu na reliable sanaa,comfortable ina smooth ride na nzuri sana kwa misele ya mjini na foleni hili la dar japokuwa ni ya umeme nusu yaani hybrid car

Watu wengi tunaogopa kununua prius koz inakuja na hybrid battery ambao ndo inaendesha kila kitu kwenye gari kwamba ikifa itakuaje?

Lakini hiyo ilikuaa ni hofu ya miaka 20 iliyopita dunia now imeendelea hybrid battery ya prius unaweza kuipata kwa 2m hadi 2.8m na kuifunga ni dakika 30 tu

Original Hybrdi battery ya prius inayokuja na gari inaenda 280,000km hadi 321,000km mpka ubadilishe nyingine,

Sa unaogopa nini?

Utasikia prius ina umeme mwingi sanaa, fun fact toyota crown ina umme mwingi na complex kuliko prius

Toyota prius inaedeshwa na generator moja kubwa, haina alternator kama garo nyingine, umeme wake ni simple sanaa, na hyo generator kufa ni mpka gari itakapokufa

Hyo generator inaweza washa friji, taa za nyumba, kwa kutumia invertor kipindi cha maafa kama mafuriko etc

Hii ni gari nzuri sana na inaweza kwenda 25km/L, mjini koz inatumia mfumo wa regenerativw braking, yaaaani ukiachia mafuta gearbox inawekwa into reverse mode ile friction energy inayotokea pale inabadilishwa kuwa umeme unachaji battery, ndo mana prius brake pads unaweza kutumia miaka 7, mana hazitumiki

Wenzetu ulaya wanazitumia sanaa prius na ni gari maarufu sisi tumebaki na ushamba wetu, katika gari za hybrid duniani hakuna kampuni imeweza kupambana na prius kwa reliability

Watanzania tuache woga na ushamba unaweza kupata 17m za kununua prius unaogopa 2.8m za. Kununja battery ambalo ukinunja unaweza tumia 10yrs hivi nani alituroga sisi tubadilike.

images%20-%202023-01-08T175714.896.jpg
images%20-%202023-01-08T175518.579.jpg
images%20-%202023-01-08T175548.023.jpg
 
Hilo ni gari, gari ni bidhaa, bidhaa hupendwa kwa sababu nyingi, mtu anaweza akapenda durability ya gari, mwingine muonekano, mwingine gari ikiwa economic...

Ila zaidi, ni branding, gari niliwahi kuliona kwenye maisha yangu nikifikiria nimeona mara ngapi, sidhani hata kama mara 10 imefika, ama ndio nalisikia kwako.
 
Kuna gari zingine zinafaa barabara za majuu mamtoni , ambazo nyingi ni friendly Kwa gar hzi za chini , bongo ukinunua gar kama hii labda uwe unaishi maeneo ya upanga alaf shughuli zako ni kariakoo, vinginevyo baada ya mwaka gari imekongoroka vibaya Sana
 
15 Reactions
Reply
Back
Top Bottom