Usipotumia ubongo wako vizuri, wanaokuzunguka ndiwo waumiao.Wakuu tangu niko mdogo nimezoeshwa kuoga kila siku ila sijawahi kuona faida yake
Vipi kama nisipooga nitanuka halafu baada ya miezi harufu itakata na sitanuka tena. Si itakuwa niko huru maishani mwangu. Nakuwa sihitaji kuoga tena.
Kwani uchafu ukizidi kwenye ngozi kuna madhara gani ya kiafya? Au ndo kunuka tu.
Kwa hiyo nikitenga likizo moja nisioge mwezi mmoja na nusu nini kitatokea ambacho ni kibaya kiasi hicho?
View attachment 3400593View attachment 3400594View attachment 3400595View attachment 3400596View attachment 3400597View attachment 3400599View attachment 3400598View attachment 3400600
Sawa,usioge!Wakuu tangu niko mdogo nimezoeshwa kuoga kila siku ila sijawahi kuona faida yake
Vipi kama nisipooga nitanuka halafu baada ya miezi harufu itakata na sitanuka tena. Si itakuwa niko huru maishani mwangu. Nakuwa sihitaji kuoga tena.
Kwani uchafu ukizidi kwenye ngozi kuna madhara gani ya kiafya? Au ndo kunuka tu.
Kwa hiyo nikitenga likizo moja nisioge mwezi mmoja na nusu nini kitatokea ambacho ni kibaya kiasi hicho?
View attachment 3400593View attachment 3400594View attachment 3400595View attachment 3400596View attachment 3400597View attachment 3400599View attachment 3400598View attachment 3400600
Ni kweli hata mswaki nao sio lazima. Kwa nini jamii iniamulie cha kufanya asubuhi ninavyoamka, kwani meno si yanguNa kuhusu mswaki usisahau mkuu maana nao ukiachwa hauzuii sauti kutoka
Evidence โ๏ธ
Wahadzabe toka wamezaliwa mswaki haujapita mdomoni na kila siku lazima wale Nyani na Tumbili๐