Habari wana MMU.
Kuna faida sana mkioana mkiwa wote hamjawahi fanya tendo la ndoa. Yaani mume na mke wote mko fresh kabisa.
~Mnapata nafasi nzuri na adimu ya kujifunzia kujamiiana kwenye ndoa. Ina raha yake sana maana wote mnafundishana.
~Mnakuwa na honeymoon yenye uzito au thamani sana kwa kuwa hamjawahi kufanya tendo hilo.
~Mnakuwa hamna habari za xs yaani hakuna cha wapenzi wa zamani, hakuna cha kutoa mimba, hakuna watoto wa nje n.k
~Nyinyi wawili ndiyo mnajuana viungo vyenu tu, hamjui vya wengine vikoje. Hivyo kuwafanya kuwa na kuridhika moyoni.
~Mnaaminiana sana.
~Mnakuwa huru sana kwenye njia zenu za mawasiliano kama simu, mitandao ya kijamii n.k.
N.k
Nimeona niwatie moyo wale ambao hawajawahi kufanya tendo la ndoa. Subirini mje mfaidi uhusiano wa namna hii ambao ni adimu sana siku hizi.
Ninayaandika haya kutoka katika uzoefu wangu mwenyewe. Tulioana na mwenzangu tukiwa hatujawahi fanya tendo la ndoa.
Basi kufa uoe bikraCjabahatika kupata dem bikra.. Kila naempata nakuta used tuuu.... This is BULL SHIIT...
Siwezi kuoa janamke used kamwe!! Labda NIFE.
Habari za kuambulia makombo ya shahawa za wanaume wenzio huo ujinga sitaki tena.
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Usiombe bikra aonje nje, atamzidi malaya wa coner bar.Habari wana MMU.
Kuna faida sana mkioana mkiwa wote hamjawahi fanya tendo la ndoa. Yaani mume na mke wote mko fresh kabisa.
~Mnapata nafasi nzuri na adimu ya kujifunzia kujamiiana kwenye ndoa. Ina raha yake sana maana wote mnafundishana.
~Mnakuwa na honeymoon yenye uzito au thamani sana kwa kuwa hamjawahi kufanya tendo hilo.
~Mnakuwa hamna habari za xs yaani hakuna cha wapenzi wa zamani, hakuna cha kutoa mimba, hakuna watoto wa nje n.k
~Nyinyi wawili ndiyo mnajuana viungo vyenu tu, hamjui vya wengine vikoje. Hivyo kuwafanya kuwa na kuridhika moyoni.
~Mnaaminiana sana.
~Mnakuwa huru sana kwenye njia zenu za mawasiliano kama simu, mitandao ya kijamii n.k.
N.k
Nimeona niwatie moyo wale ambao hawajawahi kufanya tendo la ndoa. Subirini mje mfaidi uhusiano wa namna hii ambao ni adimu sana siku hizi.
Ninayaandika haya kutoka katika uzoefu wangu mwenyewe. Tulioana na mwenzangu tukiwa hatujawahi fanya tendo la ndoa.
Usiombe bikra aonje nje, atamzidi malaya wa coner bar.
Wanaonjaga wakiwa kwenye ndoa wengine.Bikra ya Sikioni au Puani? Bikra halisi haonji na akionja hawi tena Bikra
mbona wapo...hata kansni nilipo yupoNi kweli mkuu ila unawatolea wap wa dzain hii, labd enzi maji maji war
Okey nenda umasaini huko ndio kuna hayo mambo
abarikiwe kwa lipi tena?Be blessed sana.
Usiombe bikra aonje nje, atamzidi malaya wa coner bar.
Haya yule mrembo wa soft ware engineering ulimkuta used?Cjabahatika kupata dem bikra.. Kila naempata nakuta used tuuu.... This is BULL SHIIT...