Kuoa sasa basi

Kuoa sasa basi

WinterSummer

Member
Joined
Nov 5, 2017
Posts
37
Reaction score
32
Rejea mada tajwa Hapo juu.
Samahani kwa wale nitakaowakwaza kwa maamuzi Haya.nimechukua maamuzi Haya bila kushawishiwa na mtu yeyote.
 
Duh jamii forum kwa sasa imeingiliwa na watu wasiojulikana
 
Sasa ndo umeandika nn? Utakuwa umekula cha Arusha!! Tutolee bangi zako hapa JF.
Mods msiruhusu kila uzi, futeni uzi huu.
 
Watu waliojiunga jf mwez wa kumi wana matatizo sana
 
Mkuu,
Ni uamuzi sihihi kabisa siwezi kukulaumu.

Ila tahadhari hii iweke iwe kama tai ya afisa wa TRA,
Usitafute vitoto vya shule huku mtaani maana, tutakuchoma moto mapema sana.

Ama, nyota ya jela itakutembelea hivyo, amua ila hakikisha haukosei taratibu zingine za jamii inayokuzunguka.
 
Rejea mada tajwa Hapo juu.
Samahani kwa wale nitakaowakwaza kwa maamuzi Haya.nimechukua maamuzi Haya bila kushawishiwa na mtu yeyote.
Naona umezungumzia 'kuwakwaza watu', vipi mkuu kuna watu humu jamvini uliwapropose !
 
Yeshamfika huyu wacha ajipooze....?
•mjukuu wetubtulikuasa sana "usimchunguze sana bata huta mla we hukusikia / udadisi wako sasa unakuponza mazima.
 
Back
Top Bottom