mchaga tu ndio sumu eti,wanatoa mifano ya wandugu waliooa wachagga b4 wakawekWa under control,then wanasema wachaga wana destur ya ku separate ukoo na kum dominate mwanaume na mwnaume ana base totaly on his wife's destination nk.
eti, kwani ni kweli eeh?na cc dada zenu wanatuita magogo kwenye yale mambo, kazi kweli!
mhh, mkuu! sasa wewe ndio unapatanisha hivi, ama?Mkuu nakupa ushauri huu zingatia.
sijajua huyo mwanamke ni mchaga wa wapi mana wachaga wanatofautiana.
Kama ni mmachame usithubutu kabisa kumuoa tena kimbia na umkwepe haraka.
Tabia yao.
Wachapakazi na watafutafutaji wazur wa pesa, wasimamiz wazuri wa biashara na wanakua na mapenz mazito kabla hujamuoa.
Matatizo.
Wanapenda sana kuwa viongoz wa familia, i mean utakua chini mkeo kwa kila kitu.
Wabishi,wagomvi na wanajua kupigana i mean ukileta za kujua anakudunda.
Mwisho kabisa ambalo ndio kuu ni kwamba hawa wana tabia ya kuua wanaume ili tu warithi mali. I mean mtatafuta pamoja bt mkisha zipata tu lazima akuwahishe na akikuonea huruma sana anakupoozesha upande mmoja wa mwili unakua mtu wa kutulia ndani tu.
Anko wangu yamemkuta hayo.
Kila la heri.
we mtoto wewe.. unasababisha mie najiuma-uma ulimi tu hapasina tu wa kumkatia
waongo wote sehemu yao ni lile ziwa liwakalo moto subiri uone kama wewe na mkeo ingawa sio mmachame nani ataanza kufa. ovyoooooooooooooo

ni MROMBO kaka,thanxs sana kwa ushauri mzuri mkuu
Bebiii umeona eehhh. Huyo jamaa anajustfy kitu ambacho ni unjustfiable. Anajaribu kuleta story za kizamani miaka hiyo tena za kutunga ili kuwazibia watu riziki zao
mhh, mkuu! sasa wewe ndio unapatanisha hivi, ama?

Mkuu sio kupatanisha nilikua nampa ukweli tu. Ila kwa kua kasema ni mrombo basi mambo safi warombo hawana tabu wakina Kavishe, Tarimo, Malya, n.k
Love uu watoto wa kimachame!Am proud to be MACHAME! I pity u kwa jinsi ulivyo bado ktk zile zama za ulimbombo na ulindi!

Mr Rocky ww ni mmachame eeeh, kuwa mkweli man usiwaingize wenzako kaburini.

Nimeishi pande hizo na tumeoa huko so naelewa ukweli.

Hujiulizi kwa nn mchaga wa rombo hawez kuoa mmchame?!

Then unapodai mambo ya zamaani unadanganya, hiyo ni mila yao ilikuwepo na ipo mpaka sasa.
Love uu watoto wa kimachame!
Mnanifurahisha tu kwenye kutafuta hela
but kwenye mambo yetu ya bed zerooo!!!
Nimekutana nao wengi, nimeishi nao, nawafahamu vizuri!sio mmachame,je uchunguzi wa mambo ya bed uliwafanyia wanawake wangapi wa kimachame???au na wewe umesikia tu na unavuvuzela kwa nguvu zote?