Kuoa mwanamke anaejichubua ni kukosa akili kabisa

jjs2017

JF-Expert Member
May 25, 2019
2,023
4,213
Habari za wakati huu ndugu zangu.

Bila ya kupepesa macho kitendo cha mwanaume kuwa na mpenzi anae jichubua au kuoa mwanamke anae jichubua ngozi ya uso wake na mikono ni ukosefu wa akili kabisa na niwenda wazimu.

Tufahamu wazi kabisa uzuri wa mwanamke ni ule wa asili nasio huu wa kuutafuta kwa kuchubua ngozi kwa kupaka mavipodozi ya kila aina ambayo mwisho wa siku yanamletea kansa.

Unakuta mwanamke akili zake kaelekeza kwenye kuchubua ngozi yake ili iwe nyeupe unategemea atakua na akili ya maisha huyo au atakua na akili ya kulea famia vizuri , hawa hawanaga akili kabisa mtu anachubua ngozi mpaka mishipa ile membamba kabisa inaonekana akipigwa na jua si uchafu huo.

Sasa kama mwanaume tambua wazi kabisa kua na mahusiano yeyote na mwanamke anae jichubua au kuoa mwanamke wa aina hiii ni ukosefu mkubwa sana wa akili , na kama ulisha kwisha kuoa wa aina hii jua wazi wewe hukua na akili kabisa.

Nb. Ewe Mwanaume Hawa wanawake wanaojichubua hawafai kuoa au kuwasogelea kabisa
 
Kataa Ndoa
Ndoa ni Utapeli
Ndoa ni Utumwa
Ndoa ni wizi
Ndoa ni hasara
Ndoa ni dhambi
Ndoa ni uhuni
Kataa Ndoa.
 
Sisi wanaume ndio chanzo cha yote haya kutokea, mleta uzi pia umesahau tunapenda na mwanamke mwenye tako kubwa
 
Back
Top Bottom