high vampire
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 2,941
- 2,183
kila siku ukitembelea mitandao utakuta huyu anatafuta mchumba mke au mme hawa watu wakati mwingine vigezo vingi vingine hazina hata msingi wowote kama dini,rangi,ukabila,umri wakati kama mwanamke anatafuta mme umri wake ni 30 yrs anataka 25yrs kuna nn wameendekeza haya mambo ndi maana hawapati na wameshindikana au wadau munasemaje nyie