Ni muhimu na nilazima, ukitaka kuona mtoto au kijana au binti anamsadili mazuri ujue ametoka mikononi mwa baba na mama, ukiona mtoto hawezekaniki fuatilia life status yke utaambiwa, ni mtoto wa mchepuko wa mume au nje ya ndoa.
So kuoa ni muhimu kama unapenda kujenga familia nzuri na yenye maadili.
Pia biblia inasema ktk kitabu cha mwanzo Nendeni duniani mkaijaze dunia, bila kuoa/kuolewa mtaijaza VP dunia au ndo itakua chovya chovya style
I'm speechless.Ni muhimu na nilazima, ukitaka kuona mtoto au kijana au binti anamsadili mazuri ujue ametoka mikononi mwa baba na mama, ukiona mtoto hawezekaniki fuatilia life status yke utaambiwa, ni mtoto wa mchepuko wa mume au nje ya ndoa.
So kuoa ni muhimu kama unapenda kujenga familia nzuri na yenye maadili.
Pia biblia inasema ktk kitabu cha mwanzo Nendeni duniani mkaijaze dunia, bila kuoa/kuolewa mtaijaza VP dunia au ndo itakua chovya chovya style
Blaza umekua ukituonea sana sisi Waafrika kwa matatizo ya akili tuliyonayo.
Hebu wakati mwingine jaribu kutupatia namna ya kutufanya turidhike na haya matatizo
Mwisho nashukuru sana angalau leo hujahusisha ndoa na Chura zako
SIsi ambao tulisoma siasa enzi zile ... nakupa hii itakusaidia ...Unaweza kuwa umeoa/kuolewa ila ni mzinzi,mlevi hamna mtu mtaani atakuheshimu. You earn respect u just dont get it coz u got hitched!
Ndio maana pia nikasema HUWEZI KUHESHIMIKA KWA KUWA UMEOA/KUOLEWA tu. Na wewe hii itakusaidia.SIsi ambao tulisoma siasa enzi zile ... nakupa hii itakusaidia ...
"Heshima ya mtu hutokana na huduma yake kwenye jamii"
Alikuwepo mzee mmoja hapa jijini Mwanza; alikuwa mlevi masaa yote ... ila alikuwa mfamasia mzuri sana. Aliheshimika kwa kazi yake hiyo ... na alidharauliwa kwa ulevi wake!
Umeeleweka vyema.Kuna watu wanandoa lkn hawaeshimiwi na jamii zao. Kila mtu achague wapi atapata furaha yake japo ndoa ni muhimu ila sio lazima.
Umeeleweka vyema.Kuna watu wanandoa lkn hawaeshimiwi na jamii zao. Kila mtu achague wapi atapata furaha yake japo ndoa ni muhimu ila sio lazima.
Kuowa au kuolewa ni mihimu ila sio lazima,Eh! sijui nikujibu vipi?
Bila kuoana nisingezaliwa ... ni Adam to Eva tu ndo walipatikana pasipo wazazi wao kuoana (kulingana na biblia)
Je kuoana ni muhimu au ni lazima?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na Mimi nimewahi Ku reply your comment for the first time
Fanya kitu unachoona unakiweza kama huwezi achana nacho.Ni swali dogo lakini majibu yake yanatofautiana sana .. Hivi kuoa / kuolewa ni lazima au ni muhimu?
Nawahukuru wote mliotoa michango yenu ila kwangu mimi naona kuoa ni muhimu! Umuhimu wake ni kwa ajili ya kuendeleza kizazi.
Hata Biblia imeliongelea vyema " Ni vyema kila mwanaume na awe na mke wake" ila ikiwezekana ukaweza kujizua kuoa ni sawa. Kumbuka bora kuoa kuliko kuwaka tamaa.
Kama uko hapa unasoma na una zaidi ya miaka 40 hujaoa / kuolewa jitathmini mara mbili mbili. Jambo muhimu hili hujalifanyia kazi unataka nini?
Unataka uwe unamtuma mtoto wa nani?
Unataka ukistaafu nani ashike nafasi yako?
Unataka ukienda kwenye hotel mtoto wa nani akuhudumie?
Unataka pale stand nani fanye zile kazi ....
Unataka nani aendeshe bodaboda ...
JITATHMINI