shirley myles
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 916
- 612
We ndo tahira kweli, hujui maana ya ndoa, utakuja unikumbuke Siku moja utakapomfumania mkeo anagegedwa kitandani kwakoWw n matako kweli dangote ndo huyo ako na pesa lkn haimsaidii chochote anahaha kutafta
Mke
Na Mimi nimewahi Ku reply your comment for the first timeMie hata sijui,nimewahi tu nafasi hapa. For the first time.
Kwani ukishapata heshima na. Jamii inayokuzuguka kinaongezeka nini cha ziada??Kuoa/Kuolewa ni heshima kwa jamii inayokuzunguka....lakini kwa wale wenye upeo mdogo...kwao kudanga ndo heshima na ujanja
Unakuwa umejitoa katika lile group la ''mmoja kati ya wanne'' au we ni ''mmoja kati ya wanne''?Kwani ukishapata heshima na. Jamii inayokuzuguka kinaongezeka nini cha ziada??
Sijakuelewa ..ufafanuzi pleaseUnakuwa umejitoa katika lile group la ''mmoja kati ya wanne'' au we ni ''mmoja kati ya wanne''?
NITAJIBU NIKIOANi swali dogo lakini majibu yake yanatofautiana sana .. Hivi kuona / kuolewa ni lazima au ni muhimu?
Mumu! maswali ya namna hii huwa yanalenga kuangalia mtazamo wa walio wengi uko vipi? Mfano nilikuwa nafuatilia nchi moja hivi ... wanaume haoni umuhimu kabisa wa kuoa kwa sababu wanawake ni kero.Swali lako ni kama vile kuuliza "is marriage a need or a want?",.nahisi majibu ya swali hili yana base individually,. Kwasababu mtu atajibu kwa uono wake yeye aonavyo au kwa experience aliyonayo/aliyopitia,..so,mm naweza sema kuolewa/kuoa ni muhimu kwasababu zangu fulani fulani,.
[color=blue ]kidini ni lazmaNi swali dogo lakini majibu yake yanatofautiana sana .. Hivi kuona / kuolewa ni lazima au ni muhimu?
Kwa majibu yako ... nakukubali ... umetetea majibu yako! Safi sana!Ni muhimu na nilazima, ukitaka kuona mtoto au kijana au binti anamsadili mazuri ujue ametoka mikononi mwa baba na mama, ukiona mtoto hawezekaniki fuatilia life status yke utaambiwa, ni mtoto wa mchepuko wa mume au nje ya ndoa.
So kuoa ni muhimu kama unapenda kujenga familia nzuri na yenye maadili.
Pia biblia inasema ktk kitabu cha mwanzo Nendeni duniani mkaijaze dunia, bila kuoa/kuolewa mtaijaza VP dunia au ndo itakua chovya chovya style
Kumbe ukiachana na chura huwa una akili timamu....kenge we!Sisi waafrika tuna matatizo makubwa sana ya akili,kuoa au kuolewa siyo lazima ila cha msingi ni kufanya mambo yanayokupa furaha!.....Kama kuoa inakupa furaha just do it kama haikupi furaha put it away!....Kwa mfano mimi suala la kuoa halinipi furaha and i have already just put it away!!
ni lazima ila sio muhimu
Sisi waafrika tuna matatizo makubwa sana ya akili,kuoa au kuolewa siyo lazima ila cha msingi ni kufanya mambo yanayokupa furaha!.....Kama kuoa inakupa furaha just do it kama haikupi furaha put it away!....Kwa mfano mimi suala la kuoa halinipi furaha and i have already just put it away!!
Kwani usipooa lazima uishi na hawara? Ukifanya kitu kwasababu unataka uwaridhishe watu wengine UTAPATA TABU SANA.kuolewa au kuoa ni muhimu na inakujengea heshima pia ata kuja kutembelewa na ndugu kwako hailet picha nzur ndugu kwenda kwa mtu anaeish na hawala uwa tunafosi tu
Unaweza kuwa umeoa/kuolewa ila ni mzinzi,mlevi hamna mtu mtaani atakuheshimu. You earn respect u just dont get it coz u got hitched!Ndoa n heshima aiseee hata mtaan
Unaheshimika
Kwahiyo unataka kuniambia kuoa/kuolewa ni lazima??Mumu! maswali ya namna hii huwa yanalenga kuangalia mtazamo wa walio wengi uko vipi? Mfano nilikuwa nafuatilia nchi moja hivi ... wanaume haoni umuhimu kabisa wa kuoa kwa sababu wanawake ni kero.
Sasa imekuja kwa wanawake nao hawataki kuolewa kwa sababu wanapenda kuwa huru. Matokeo yake ikitokea ukaenda club unakutana na wanawake wengi sana zaidi ya wanaume na wana matendo ambayo siyo ya kistaarabu kabisa.
Jambo lolote lile unaloliona kwenye jamii fulani ni matokeo ya jambo jingine ambalo halikutafutiwa ufumbuzi.
Kuna siku utalikumbuka swali langu na kujua undani wake ..
Sisi waafrika tuna matatizo makubwa sana ya akili,kuoa au kuolewa siyo lazima ila cha msingi ni kufanya mambo yanayokupa furaha!.....Kama kuoa inakupa furaha just do it kama haikupi furaha put it away!....Kwa mfano mimi suala la kuoa halinipi furaha and i have already just put it away!!