A na B ni majibu sawaNi swali dogo lakini majibu yake yanatofautiana sana .. Hivi kuona / kuolewa ni lazima au ni muhimu?
ni lazima ila sio muhimu [emoji3]Ni muhimu ila sio lazima
Nataka jibu lako wewengoja waje
mimi tajibu baadae babuNataka jibu lako wewe
Unatutega wewe. Unataka uigilizie majibu yetu. Hujaacha tabia yako ya kupiga chabo?mimi tajibu baadae babu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mie akuu nitajibu mwishoniUnatutega wewe. Unataka uigilizie majibu yetu. Hujaacha tabia yako ya kupiga chabo?
Ni muhimu kuheshimika ila unaweza kuchagua maisha yako ambayo huenda baadhi wasikuheshimuOk, ni lazima kuheshimika au ni muhimu kuheshimika?
hata mm sijui chiefJambo la lazima ina maana usipolifanya kuna madhara! ... Kuna ulazima upi wa kuoa? Mbona wapo ambao hawaoa wala kuolewa na maisha yanaenda?
sisi kwetu ni muhimu lakini sio lazima!ngoja waje