Kuoa! Ili iweje?

kumbe wewe ndoa inamaanishwa na hayo.. usioe mkuu

hayo ni sample tu, yapo mengi sana dada zetu mnafanya ambayo yalistahili afanyiwe mume na sio hawara. ndio maana ndoa zinapeperuka sana siku hizi
 
hakuna wake za watu ambao ni manurse au madoctor ??
hivi unajua mambo ya kuuguza au unaonesha ujinga kwa maswali ya kijinga ?

We unafikiri ni rahisi kuishi kwenye ndoa! Kuugua ni kuugua tu hata kama umeoa/umeolewa ama la! Ujinga ni kufikiri kuwa kila mtu lazima awe kwenye ndoa! Na kama unafikiri maisha ya ndoa ni kuuguzana huo ndo upumbavu. Wengi wetu tunaishi kwenye ndoa kisanii tu na labda tulitaka tuonekanike tupo kwenye ndoa! Kama unayo ndoa jichunguze utaamini ninayokwambia ila kama hujaingia kwenye ndoa jitathmini kama kweli upo tayari kuingia kwenye ndoa! Usione baba yako na mama yako wapo hapo hujui nyuma ya mlango wao wa chumbani kinachotokea kila siku ni nini!
 
rejea points alizotaja mdau Casuist on page 4,need i say more,..
don.know bout u guys but I really value partnership na mwanaume wangu,
js the fact that u have someone to go through life and share experiences is just VERY COMFORTING..
 
Last edited by a moderator:

Nimekumisiiiii....
 
Last edited by a moderator:
Ni imani yangu wazazi wake watakuwa walifunga ndoa, tofauti na mijitu ya siku hizi inaogopa ndoa
Mkuu watoto wa nje ya ndoa ni wengi sana japokuwa sina maana kwamba ni wenye tabia kama za huyu bwana. Ila si busara kujiaminisha tu kirahisi rahisi kuwa huyu bwana katokana na zao la ndoa. Inawezekana kabisa hata baba yake hamjui au hata mama yake pia.
 
Kama asili yako, umezaliwa kinyemela unaowa ili iweje!
 
Hapa inabidi nitoe ufafanuzi kidogo. Nimezaliwa ndani ya ndoa halali ya kikatoliki. Ndugu zangu wakubwa wote wameoa na kuolewa katika ndoa takatifu za kikatoliki. Wazazi wangu wawili wote wapo hai na nawafahamu.
 
Mkuu nimekulewa vizuri inawezekana kweli atakuwa ameiga tabia za baba yake
 
Hapa inabidi nitoe ufafanuzi kidogo. Nimezaliwa ndani ya ndoa halali ya kikatoliki. Ndugu zangu wakubwa wote wameoa na kuolewa katika ndoa takatifu za kikatoliki. Wazazi wangu wawili wote wapo hai na nawafahamu.
Basi ukikua utaacha, usijali sana kwa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…