1. Kama mpenzi wangu kila ijumaa anakuja kwangu na anasipendi nae mpaka jumapili usiku, nioe ili iweje?
2. Kama kila nguo zangu zikichafuka au nyumba ikihitaji usafi sikosi mwanamke wa kunisaidie, nioe ili iweje?
3. Kama mwanamke niliyempa mimba yuko tayari kuzaa, nioe ili iweje?
4. Kama kila nikihitaji tendo la ngono (sio tendo la ndoa) nalipata kwa wakati, nioe ili iweje?
5. Kama kila nikihitaji ushauri au kuliwazwa na mwanamke napata, nioe ili iweje?
Bado nipo nipo sana
We nani kakwambia wazazi wake walioana?Sio under 18 litakuwa lijitu lizima ila sema ubongo wake uli-stuck akiwa na miaka 10, litakuwa lijitu la 30's au 40's lakini ubongo wake unafikiri kama mtoto wa miaka 10. Mtu gani huna akili ya kufikiri wazazi wake walioana linakazaliwa lenyewe na sasa limekuwa linaogopa kuoa kubwa zima
Mkuu kawoli nimekuelewa vizuri sana especcially uliposema lengo ni kuwataka wadada waache kujirahisisha na kugawa mzigo pamoja na kutoa muda wao kumtumikia Mwanaume ambaye si mumewe
Pia napenda kukukumbusha kuwa sababu kubwa ya watu kuoa la kwanza kabisa ni kutimiza kusudi la Mungu kwa Mwanaume na Mwanamke,kwasababu Mungu alijua kuna mabinti,makahaba na wanawake kibao wa kuweza kukusaidia wewe kama mwanaume ila aliagiza kuwa na MKE na si mpenzi wa kuwa msaidizi wako.
ingawa pia watu wengi siku hizi wamekatishwa sana tamaa na jinsi cases mbalimbali mbaya zinazotokea katika ndoa na zaidi ni Usaliti. NA issue nyingine wanaume wengi wanaogopa kuoa kutokana na hali ya maisha generally kwani wengi wanahitaji kujipanga sana kabla ya kuoa tofauti na zamani.
ILA all in all,sipingi mada yako ila naamini tungepaswa kukuelewa na kuichukulia kama Changamoto.
Mkuu, hoja zako ni nzuri, ila unapoingiza suala la Mungu unakuwa hauko sawa, sio watu wote wanaamini katika hizi dini zinazozungumzia Mungu achilia mbali hilo ulilosema ni kusudi lake, hebu toa hoja ambazo zitamgusa kila mtu, bila kujali ni muumini wa dini ama la.
Hadi hapa hakuna aliyetoa hoja yenye mashiko, wengi wanazungumzia kupikiwa, kufuliwa na kadhalika, vitu ambavyo mfanyakazi wa kawaida tu anaweza kufanya, wengine wanasema ili kupata mtoto na kuuguzwa ukiugua, vitu vinavyowezekana tu bila ndoa, swali linabaki, kwa nini mtu aoe?
Binafsi nakaribia 40 na sijawahi kufikiria kuoa, msiniponde, nipeni hoja kwa nini nioe, labda mnaweza kunishawishi nianze kutafuta mchumba.
1. Kama mpenzi wangu kila ijumaa anakuja kwangu na anasipendi nae mpaka jumapili usiku, nioe ili iweje?
2. Kama kila nguo zangu zikichafuka au nyumba ikihitaji usafi sikosi mwanamke wa kunisaidie, nioe ili iweje?
3. Kama mwanamke niliyempa mimba yuko tayari kuzaa, nioe ili iweje?
4. Kama kila nikihitaji tendo la ngono (sio tendo la ndoa) nalipata kwa wakati, nioe ili iweje?
5. Kama kila nikihitaji ushauri au kuliwazwa na mwanamke napata, nioe ili iweje?
Bado nipo nipo sana
Mkuu kawoli nimekuelewa vizuri sana especcially uliposema lengo ni kuwataka wadada waache kujirahisisha na kugawa mzigo pamoja na kutoa muda wao kumtumikia Mwanaume ambaye si mumewe
Pia napenda kukukumbusha kuwa sababu kubwa ya watu kuoa la kwanza kabisa ni kutimiza kusudi la Mungu kwa Mwanaume na Mwanamke,kwasababu Mungu alijua kuna mabinti,makahaba na wanawake kibao wa kuweza kukusaidia wewe kama mwanaume ila aliagiza kuwa na MKE na si mpenzi wa kuwa msaidizi wako.
ingawa pia watu wengi siku hizi wamekatishwa sana tamaa na jinsi cases mbalimbali mbaya zinazotokea katika ndoa na zaidi ni Usaliti. NA issue nyingine wanaume wengi wanaogopa kuoa kutokana na hali ya maisha generally kwani wengi wanahitaji kujipanga sana kabla ya kuoa tofauti na zamani.
ILA all in all,sipingi mada yako ila naamini tungepaswa kukuelewa na kuichukulia kama Changamoto.
Inatakiwa atoe strong reson sio kumpiga vijembe tu na kumkandia,huenda ana maana sana nyuma ya pazia kutokana na sentesi yake ya kuoa ili iweje
Huyu bado mtoto mdogo mhurumieni tu akikua atajua ujinga aliokuwa akifikiria.
mzee wa funny umemsikia Mjuni Lwambo?Mkuu, hoja zako ni nzuri, ila unapoingiza suala la Mungu unakuwa hauko sawa, sio watu wote wanaamini katika hizi dini zinazozungumzia Mungu achilia mbali hilo ulilosema ni kusudi lake, hebu toa hoja ambazo zitamgusa kila mtu, bila kujali ni muumini wa dini ama la.
Hadi hapa hakuna aliyetoa hoja yenye mashiko, wengi wanazungumzia kupikiwa, kufuliwa na kadhalika, vitu ambavyo mfanyakazi wa kawaida tu anaweza kufanya, wengine wanasema ili kupata mtoto na kuuguzwa ukiugua, vitu vinavyowezekana tu bila ndoa, swali linabaki, kwa nini mtu aoe?
Bninafsi akaribia 40 na sijawahi kufikiria kuoa, msiniponde, nipeni hoja kwa nini nioe, labda mnaweza kunishawishi nianze kutafuta mchumba.