Hbr wana jukwaa naomba mnishauri,Nilitokea kumpenda sana binti mmoja wakati niko A level nilikuwa nasoma nae darasa moja ila michepuo tofauti mimi nilikuwa PCB na yeye alikuwa CBG Kibaya zaidi sikuwahi kumtamkia kuwa nampenda nilikuwa naumia moyoni tu.Baada ya matokeo kutoka(2010) alipata failure na mm nilipata div iii yenye Principal pass moja nikaenda kusoma diploma ya mifugo(LITI, 2010-2012).wakati nikiwa chuoni bado moyo wangu ulikuwa unamfikiria sana huyu binti, mnamo mwezi 11/2011 nilitafuta namba yake kutoka kwa mmoja ya classmate yangu.Ndipo nilipojipiga kifua na kumweleza hisia zangu kwake na kudai kuwa mbona muda wote huo sijawahi kumwambia nikamweleza kwa nini.kuanzia hapo ikawa tunawasiliana hadi nilivyorudi chuoni mwezi wa 5/2012. Nikampigia simu tuonane na kweli alikuja (frankly speaking i did with her) Bila kusahau nilishawahi kumuuliza kama ashawahi kuwa na mtu akanambia ndio lakini wameachana mda mrefu hakuniambia zaidi ya hivyo.So moja ktk siku nilimwita aje cafe tupate juice alikuja mtoto mdogo mwenye umri wa mwaka mmoja na nusu kuelekea miwili nilimuuliza ni wanani akadai ni ndg yake yuko znz hatimae niligundua kuwa ni wake(shorten to save time) nilivo muuliza kwa nn alinificha akadai angenikimbiza mapema kama angeniambia (a lot ommited to save time) kimsingi binti ananipenda ajabu na nilishamuahidi kumuoa nikipata kazi na sasa nimeajiriwa na wizara ya mifugo na pia ni mwanafunzi wa veterinary Medicine SUA Y1 KWA SASA BINTI ANATAKA NIMUOE KWANI NIMESHAPATA KAZI LAKINI NAGWAYA KUWA NI SAWA KWA UMRI WANGU KUANZA NA BINTI MWENYE MTOTO??? ZINGATIA BINTI NAMPENDA SANA KWANI ALIVYO HUWEZI AMINI KUWA ANA MTOTO NA YEYE PIA ANANIPENDA.........USHAURI TAFADHALI KWANI LENGO LANGU MWAKA HUU USIISHE NIOE...Kama kuna mtu atataka maelezo zaidi ili anishauri barabara nitampatia.

Heaven watu wabafanya hivyo kutaka kujua umejibiwa nini. Short of that inabidi u-scroll all the way down the thread kuona amekujibu nini!nyie mnao quote thread nzima na kuandika mistari miwili mnatuchosha aisee.
Heaven watu wabafanya hivyo kutaka kujua umejibiwa nini. Short of that inabidi u-scroll all the way down the thread kuona amekujibu nini!
nyie mnao quote thread nzima na kuandika mistari miwili mnatuchosha aisee.

Binafsi sioni shida ya kuwepo mtoto coz kile ni kiumbe na hakina kosa, shida ni hawa wazazi wawili watakaonivurugia nyumba. Tunashuhudia yakitokea kila siku, huwa wengi hawaachi kukutana na kukumbusha.