kunyweni tu lakini...!

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,657
729,768
South_Africa_Part_2-3623589.jpeg
 
Hii inakumbusha utotoni nlikuwa nikisikia eti Mikate wakikanda Bekari eti wanakanda na Miguu.

Yaani Nyayo zinatimba timba, zinakanyaga kanyaga. Eti ndio kukanda kwenyewe.

Na sijapata ufumbuzi mpaka hivi leo.

Hapa nazungumzia zile Bekari zetu za Uswahilini.

Sasa sijui ni kweli, au yalikuwa ni maneno ya kuongopeana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom