Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,553
Kuna wakati tunakitafuta kifo sisi wenyewe, hasa walevi na wanywa pombe za usiku kwenye club au bar za uchochoroni huko.
Ukiwa club inatokea unasogea pembeni kuongea na simu, unaenda toilet, unakuwa busy kuangalia mpira au kupiga stori na unakuwa ushatupia bia kadhaa kichwani, yaani hujali!
Mhudumu anakufungulia kinywaji huangalii, kuna bia zinakuwa zimechacha..anaweza hata akakuwekea sumu, flgyl, au madawa ya kulevya ukayabugia. Unakufa kirahisi sana
Una bifu na mtu anakuwekea kitu kwenye chupa kwa Siri bila wewe kujua, inavhangangikana na bia. Unaitafuna.
Hatari mwanzo mwisho.