Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,316
- 33,125
MTOTO HUYU ambaye jina lake halikuweza kufahamika alinaswa na mtandao wetu maeneo ya Mji Mpya katika Manispaa ya Morogoro jana jioni akinywa maji ya bomba nyuma ya nyumba yao, maji ambayo sio salama.
Mkoa wa Morogoro ni miongoni mwa mikoa yenye idadi kubwa ya ugonjwa wa matumbo (typhoid) hasa kutokana na kunywa maji yasiyokuwa salama.
Mkoa wa Morogoro ni miongoni mwa mikoa yenye idadi kubwa ya ugonjwa wa matumbo (typhoid) hasa kutokana na kunywa maji yasiyokuwa salama.