Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,315
Unywaji wa maji hutegemea hasa na uzito wa mnyaji kama kielelezo husika.Hicho ni cha kisayansi.Kunywa maji kupita kiasi unaiovaweki figo.Tafadhali kunywa kistaarabu!Asante kwa taarifa lakini kuna usemi wadau wengi husema kwa siku angalau unywe maji lita 5.