Mdomo bakuli
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 3,442
- 7,020
Kisu kimegusa mfupa bossDaah, cku hiyo ilinibidi nikatafute wa kukesha nae mkuu, sababu nilitoka pale akili imeganda kwenye tukio lile
Ila hayo mambo yanataka moyo sana, watu wa kawaida kuyafanya si kitu rahisi kabisaKisu kimegusa mfupa boss
hiyo video niliiona kuleeeeeBora hiyo, Cku moja nilikuwa viwanja fulan (maeneo ya bar) kwa majirani zetu hapo Kenya nikashuhudia mdada amepakatwa kwenye kiti anatoa uloda mbele ya kadamnasi . Daaah, haya mambo ni balaa!
Aisee hatari sanaBora hiyo, Cku moja nilikuwa viwanja fulan (maeneo ya bar) kwa majirani zetu hapo Kenya nikashuhudia mdada amepakatwa kwenye kiti anatoa uloda mbele ya kadamnasi . Daaah, haya mambo ni balaa!
Mkuu vipi, hujawai kujaribu hiyo kitu?Hahahahah. Lol.
Hiyo kwenye pichaKujaribu aje kiongozi...?
Kwa nini umechekaHahahahah.
Ok powaNimefurahi tu.
Hahaha wakubwa kuanzia Miaka Mingapi?Dah...wakubwa wanafaidi sana...[emoji13]