Kunywa Kistaarabu.

Hii ndio ile yule dogo alieimba "nadekezwa nadekezwa"
Kwenye nimekusahau nakumbuka tu lako jina

Mmmmmh, sina hakika kiongozi coz niko na mbali na wasanii pamoja na sanaa yao kwa jumla mkuu.

Wajuzi wa mambo watatujuza aisee.
 
Hii ni ishara ya kahaba mzoefu ambae hajabahatika kupata mtoto na sasa yuko field
 
Bora hiyo, Cku moja nilikuwa viwanja fulan (maeneo ya bar) kwa majirani zetu hapo Kenya nikashuhudia mdada amepakatwa kwenye kiti anatoa uloda mbele ya kadamnasi . Daaah, haya mambo ni balaa!

Vyombo vikishakolea aisee hata mkwe anaweza akakojolewa mkuu.

Ni Hatari Sana.
 
Vyombo vikishakolea aisee hata mkwe anaweza akakojolewa mkuu.

Ni Hatari Sana.
Daah, cku hiyo ilinibidi nikatafute wa kukesha nae mkuu, sababu nilitoka pale akili imeganda kwenye tukio lile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…