Kunyonyesha mtoto

Aisee huu uzi umenisababishia nianze kutamani mtoto maana mnavyojidai na watoto wenu khaa...natamani kujitundika mie
 
Mhuhhghh!!! Wanawake wa kisasa...!?. Poleni.
 
sasa mama watoto ametoka gegedwa(chepukwa),, baba watoto lashinda bar.
Kuna kunyonyesha hapo.

Sorry for intrusion.
blogger...hivi kwa mama anayetakiwa kuenda kazini (chukulia anaishi dar na foleni za magari) hivi anaweza kunyonyesha mtoto akatosheka na maziwa yake tu...siyo muumini wa kumkamulia mtoto maziwa ya mama!!
 
Last edited by a moderator:
Mie nitanyonyesha miezi sita ya mwanzo,baada ya hapo mtoto asinijue lol,my aunt katoto kake alinyonyonyesha for six months.....akampa ya kopo,mtoto yuko six years now,mbona yuko normal anampenda mama yake na shuleni ndio kwaaanza ana collect ma awards/stars.....
 

Shahidi mimi hapa jamani tokea amezaliwa sikumpa hata maji mpaka alivyotimiza miez 6....na katimiza miezi sita na kg10...ni maamuzi tuu. ..mimi niliamua mwenyewe sikulazimishwa na dr wala baba yake ovaa
 
Last edited by a moderator:
unadhani bila kunyonyesha kwa muda huo asingekupa huo mtaji?

Angenipa lakini sii kwa furaha, ila hakuamini kama ningefunga kibiashara changu kwa muda wa miezi 6,niwe busy namnyonyesha mtoto. ...inatia moyo mtu akikupa kitu kwa furaha
 
Kuna mrembo mmoja mtoto wake alikuwa analia sana hasa saa za usiku hawalali na mumewe wakiwa na wasiwasi kwamba mtoto ni mgonjwa. Wakimpima temperature iko ya kawaida baada ya muda wakaamua kwenda kumuona Doctor. Doctor akamchunguza mtoto kwa kina na hakuona tatizo lolote lile ndipo alipouliza yule mtoto huwa anakula nini mama akajibu ni maziwa ya mama tu. Dr ndipo alipotoa ushauri kwamba labda maziwa ya mama labda hayamtoshi mtoto na hivyo kupendekeza mtoto aanze kupewa vyakula laini vya kusaga kama vile viazi ulaya n.k. Baada ya kuanza msosi wa ziada mtoto akaacha kulia kabisa. Mtoto alikuwa wa miezi mitano.

Umeona eeh? Mimi watoto wa dada yangu haiwezekani....japo ana bidii sana ya kunyonyesha usipowapa chochote hapakaliki nakuambia miezi 6??!!
 
........Hii ni kasumba tu kwamba mtu unyonyeshe mwaka au miaka 2, labda kama ni house wife kazi yako kubwa ni kulea. Maziwa ya mwanzoni 6 months yale ndio yenyewe.

Mimi mwanangu hata maziwa ya kopo aligoma, amekua kwa lishe nzuri, na tunabond nzuri sana.
 


......Mimi my nephew alipewa uji mlaini akiwa na 3 weeks old. Mtoto alikuwa analia balaa usiku, kumbe ziwa alimtoshi.
 
Reactions: BAK
Someni tafiti na makala za wataalam kuhusu kunyonyesha.
Kunyonyesha ni muhimu SANA kwa ile miezi 6 ya mwanzo.

Baada ya hapo ni kuamua tu. Hakuna cha usasa wala usichana, na ukisoma zipo wazi kabisa kua unyonyeshaji katika nchi zetu hizi za dunia ya tatu ni kwa vile kuna Lishe duni.

Mtu unanyonyesha mtoto hadi anashindwa kujichanganya na watoto wenzake anawaza nyonyo.
Kama upo vizuri mtoto anakua vizuri tu.
 


Hahahaa ndio hivyo watoto wengine ni noma hawakubali kabisa hiyo formular....utamaliza waganga wote kumbe kamtu kanasumbuliwa na njaa
 
blogger...hivi kwa mama anayetakiwa kuenda kazini (chukulia anaishi dar na foleni za magari) hivi anaweza kunyonyesha mtoto akatosheka na maziwa yake tu...siyo muumini wa kumkamulia mtoto maziwa ya mama!!

Ile miezi mitatu ya matenity leave ahakikishe mtoto ananyonya kisawasawa, baada ya hapo kuna option ya mama kukamua maziwa yake na kuyafreez bila kuharibika, hapo haus grl anamlisha vizur tu mchana. Asubuh na jion anyonyeshe kama kawaida.

Tatitizo lenu mnataka eti matiti yaendelee kua wima.
 
Last edited by a moderator:

I never stopped to think that my boobies would sag. Bringing a human being into this world is bigger than changes to a body that will happen anyway.

No regrets. Huyo mdada nampa pole.
 
Reactions: kui
I never stopped to think that my boobies would sag. Bringing a human being into this world is bigger than changes to a body that will happen anyway.

No regrets. Huyo mdada nampa pole.

yo realy a mother
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…