askarikambi
JF-Expert Member
- Dec 22, 2013
- 246
- 264
Heshima kwenu.
Jana kwenye maongezi ya kirafiki na bi dada mmoja,
hata akiingiliwa na mwanaume bila kinga, bila kuzingatia siku zake za hatari.
Ahsante kwa elimu, itabidi nirudi kwa yule mdada nimtoe tongotongo. Yeye anadai hata kwa miaka 2 ya kunyonyesha.Kunyonyesha huzuia kupata ujauzito kwa baadhi ya wanawake hasa kwa miezi sita ya mwanzoni kwa mama ambaye ananyonyesha asilimia 100 bila ya kuchanganya na lishe zinginezo. Hata hivyo hii hutegemea na maumbile ya mwanamke mwenyewe, chukua tahadhari maana mzunguko wa upevushaji wa yai ukianza huwa haupigi hodi.
Niseme ukweli, sikuwa najua hili jambo. Nilikuwa natumia kinga kuogopa kumpa mimba, kumbe ni suala la timing tu! Akizaa tena, tutatumia njia hii!kama utanyonyesha kwa uwaminifu itazua mimba ila ukilegeza tu mzigo utatinga sababu ukinyonyesha hata kupata hedhi inakuwa issue
Mi and My wife tuliishaambiwa hivyo huko ughaibuni na kweli hakupata mimba but baada ya miezi 9 mtoto alistopishwa kunyonya na mimba ikapatikana mubashara soon afterHeshima kwenu,
Jana kwenye maongezi ya kirafiki na bi dada mmoja, alinieleza jambo lililonifanya nishangae kidogo na hata nilipobisha(japo sikuwa na data za kubishia) bado alisisitiza kuwa anachosema ni kweli.
Kama swali nilivyoliweka hapo juu, anadai kuwa, mwanamke anaponyonyesha mtoto wake vizuri kwa kuzingatia muda na wakati wa kunyonyesha, hawezi kushika mimba kwa kipindi cha miaka miwili ya unyonyeshaji hata akiingiliwa na mwanaume bila kinga, bila kuzingatia siku zake za hatari.
Najua humu wapo wengi waliowahi kunyonyesha, na wengine ni wataalamu wa mambo ya uzazi. Nimeona badala ya kuendelea kubisha (kukataa) ni bora niwaulize wajuzi wengine kwani hii sikuwahi kuisikia kabla.
Je, ni kweli kunyonyesha kwa kuzingatia utaratibu mzuri wa unyonyeshaji kunazuia uwezekano wa mama kupata mimba kwa kipindi hicho?
ni njia nzuri lakini muhimu asiwe mvivu kunyonyeshaNiseme ukweli, sikuwa najua hili jambo. Nilikuwa natumia kinga kuogopa kumpa mimba, kumbe ni suala la timing tu! Akizaa tena, tutatumia njia hii!
wapo wa hivi hii hutegemea mwili wa mtu.Ahsante kwa elimu, itabidi nirudi kwa yule mdada nimtoe tongotongo. Yeye anadai hata kwa miaka 2 ya kunyonyesha.
Jibu zuri.kama utanyonyesha kwa uwaminifu itazua mimba ila ukilegeza tu mzigo utatinga sababu ukinyonyesha hata kupata hedhi inakuwa issue
Wachaga mkuu..nimeshuhudia hili maranyingi sana!...Anakula uzazi miezi 3 akitoka nje anakuwa na Mimba ingineeSi kweli! Kuna wanawake wana watoto wa miezi minne na bado wanashika mimba