yaani hii ni njaa gani sisi waafrika jamani , mbona si uungwana huu, usikute huyu anaweza hata kumpanda pia huyu mbuzi hv hv na njaa za mwili sikianza
halafu mguu wa kushoto kaukamatia ili meee asilete kokoro halafu tartiibu anaukamata mrija wa kunywea marua.wewe vipi unakubali mwenzio ananyonywa kama hivo
Kwa kawaidi mbuzi ni mnyama ambaye hajatulia,yaani ni msumbufu balaa.Cha ajabu hapa naona ametulia sana,inawezekana naye anahisi starehe ya ajabu kunyonywa!teh teh teh!!
yaani hii ni njaa gani sisi waafrika jamani , mbona si uungwana huu, usikute huyu anaweza hata kumpanda pia huyu mbuzi hv hv na njaa za mwili sikianza
we kama sio mtoto wa kota basi wa uswahili. Haya mambo sie wanakijiji ndio starehe zetu sio njaa,. Ebu rudi nyumbani kale tembele na ugari wa kugombania