Kunyonya matiti wakati wa tendo

Kunyonya matiti wakati wa tendo

Utandawazi huu utatupeleka mahali pabaya matiti yaliwekwa ili wawe wananyonya watoto tu .Lakini nashangaa siku hata watu wazima wananyonya maziwa ya watoto.Mbona kinyaa.Nikija kulala na mwanamke siwezi kunyonya matiti .Ni kinyaa kwa kweli.

haaa!!!!!!!!!!!!!???????????
Una umri gani mkuu.?
 
Kunyonya hiyo kitu watu tu wanazungumza tu lakini sidhani mtu mwenye akili timamu anaweza kunyonya hiyo kitu.Watu wanazungumza tu .LAKINI KIUKWELI KUNYONYA HIYO KITU KWA WATU WENYE AKILI TIMAMU HAIWEZEKANI
Nimecheka sana!ww ni mgeni na hayo mambo ila siku ukijaribu hutaacha!ushamuona beberu?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Niwapi iliandikwa kuwa ni chakula cha mtoto tuu.... Huijui raha waipatayo wanaume kwa kunyonya titi

sio lazma paandikwe ndo uhalisia dume zima wanyonya maziwa na mtoto anyonye wapi hata kama ni raha hyo ni special kwa watoto
 
Wacha weee..haya tutafutie na kuhusu papuchi waeza kuta pia ni dawa ati
 
Kunyonya hiyo kitu watu tu wanazungumza tu lakini sidhani mtu mwenye akili timamu anaweza kunyonya hiyo kitu.Watu wanazungumza tu .LAKINI KIUKWELI KUNYONYA HIYO KITU KWA WATU WENYE AKILI TIMAMU HAIWEZEKANI

We we we, usirufie tena kusema ivo, subiri mda ukifika ndo utajua kama ni kukosa akili au la sawa ee.
 
Utandawazi huu utatupeleka mahali pabaya matiti yaliwekwa ili wawe wananyonya watoto tu .Lakini nashangaa siku hata watu wazima wananyonya maziwa ya watoto.Mbona kinyaa.Nikija kulala na mwanamke siwezi kunyonya matiti .Ni kinyaa kwa kweli.
ukikua utanyonya mpaka nanihiii nini matiti
 
Hii thread iunganishwe na ya Eshy m.s yeye ni wa kwanza
 
Last edited by a moderator:
nyie ndo huwa mnalalamikiwa na wake zenu hamuwafikishi! sasa wewe mwanamke unamwandaaje maana kama matiti ni kinyaa na uvinza ndo utakimbia kabisa. wewe jiandae mke wako kusaidiwa. tena washenzi huko nje wakishajua wananyonya kila sehemu inayostahili kunyonywa hapo ndo ukute mke hajawahi kunyonywa na mme wake ndo kwa heri hiyo mkuu! ila ujue mapenzi ni uchafu na wanaofanya katika level hiyo ndo hao unasikia kila siku wanasifiwa. ushauri wa bure

Hii inanikumbisha hadithi ua dada mmoja aloondokewa na mme wake kipindi kirefu nae hakuweza kustahmili akaenda kuitoa papuchi kwa jamaa mramba/mnyonya k**a. Aliporudi mumewe wakati wanaanza tu jamaa akaenda moja kwa moja kutaka kumuingilia mkewe, mwanamke aliruka akasema"mjini yaliwa iyo".
 
Itabidi tufungue clinic, kazi moja tu, KUKINGA SARATANI ya matiti!

utafiti andaa tangazo la ajira kwa ajili ya kupata wafanyakazi.
mzabzab na mwekundu hawaruhusiwi kutuma maombi ya kazi.

Huuu ni upendeleo kama wana ujuzi na hii kazi wapewe kwa maana wateja ni wengi
Clinic ifunguliwe na mwekundu +# mabazazi na mzabzab waajiriwe
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom