Kunyonya matiti wakati wa tendo

Kunyonya matiti wakati wa tendo

Sijalielewa swali!


kunyonya matiti wakati wa "tendo" kunapunguza kansa ya matiti. sasa huyo kauliza vipi kuhusu masista wanafanyaje? (akitilia maanani "tendo" kwao ni mwiko)
 
There u go............. OMG keep on doing it hiyo raha haielezeki

halafu we SAYANSIKIMU wawapi wewe...... ndo maana kutwa uko kutafuta mpenzi hupati

Mwambie ajekwangu mimi sina mpenzi,atawambia mwenyewe kuwa amenyonya bila kupenda
 
Last edited by a moderator:
Huku mtoto na huku baba yake...yote yananyonya....basi inabidi kina mama wawe wanapewa majukumu light wawapo kazini kulinganisha na wanaume...
 
Utandawazi huu utatupeleka mahali pabaya matiti yaliwekwa ili wawe wananyonya watoto tu .Lakini nashangaa siku hata watu wazima wananyonya maziwa ya watoto.Mbona kinyaa.Nikija kulala na mwanamke siwezi kunyonya matiti .Ni kinyaa kwa kweli.
Weee hujawahi sikia jina '' ndama mtoto ya n'gombe?''
kwani ndama kazi yake ni nini?
 
Back
Top Bottom