Kunyolea ndevu Magic.

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
227
597
Wana bodi.
Mimi ni mmoja wa wanyoaji wa ndevu kwa kutumia MAGIC naomba kufahamu madhara ya moja kwa moja au side effect zake.
madhara ya muda mfupi pia ya muda mrefu.

aksanteni.
 
hiyo MAGIC ni nini kwanza chief?
wengine hatuna ndevu hatujui hayo mavitu
 
Wana bodi.
Mimi ni mmoja wa wanyoaji wa ndevu kwa kutumia MAGIC naomba kufahamu madhara ya moja kwa moja au side effect zake.
madhara ya muda mfupi pia ya muda mrefu.

aksanteni.
Hii kitu sitaki hata kuiskia!! Imeniletea mvi za kidevu kabla hata sijafika 35!

Ningekuwa marekani hakyanani ningewapeleka mahakamani wanilipe!
 
hiyo MAGIC ni nini kwanza chief?
wengine hatuna ndevu hatujui hayo mavitu
nadhani kamaanisha Magic powder, ni dawa fulani wanapaka kwenye ndevu zinalainika na kuwa nyepesi kutoka bila shida kwa kukwangua na kifaa chake
 
Back
Top Bottom