Awamu ya tano kila kiumbe kitanena kwa lugha, kamuone Makonda ndio naibu Rais na ni rahisi kumuonaHabari wana Jf,
Dada yangu ana mwanae alikuwa anasoma shule ya private hapo Daresalaam maeneo Ya Tegeta , sasa kuna kipindi alisimamishwa anadaiwa ada kiasi cha 320,000.
Ña yeye kwakuwa uchumi wake umeyumba akahamua amuhamishie mwanae shule ya serikali darasa la nne, sasa amejaribu kufuatilia uhamisho kule ktk shule ya private,, uhamisho upo tayari Mwl mkuu alishaufuatilia,
Lakini wamegoma kumpa mpka alipe deni lao, na Kuna kipindi kirefu mtoto walimsimamisha akawa asomi, kibaya zaidi na kule shule Ya serikali mtoto amerudishwa mpaka aende na uhamisho,
Amejaribu kuwaomba kule shule ya private ikibidi waandikishiane, bado wamegoma wao wanataka pesa ndio watoe uhamisho,
Ivi ni hatua gani anaweza akachukua, maana nahisi ana adhibiwa mtoto Kwa kosa lisilomuhusu,,
Tunalazimika mkuu. Hizi shule za serikali ni kumpotezea mtoto muda na future yakeHii kasumba ya kupeleka watoto private shule za gharama lazima watu wajifunze
Sio kweli hata kidogo.Tunalazimika mkuu. Hizi shule za serikali ni kumpotezea mtoto muda na future yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipotoshe kuna tuliosoma huko na sasa tupo vyuoni sasa future IPI unayoongelea labda si ya kitaalumaTunalazimika mkuu. Hizi shule za serikali ni kumpotezea mtoto muda na future yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Usipotoshe kuna tuliosoma huko na sasa tupo vyuoni sasa future IPI unayoongelea labda si ya kitaaluma
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nmemaliza form six juzi tuUsifananishe elimu tulizosoma enzi zetu na sasa hivi mkuu. Kuna tofauti kubwa sana na ushindani ni mkubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
ahahaha,, maendeleo hayana chamaAwamu ya tano kila kiumbe kitanena kwa lugha, kamuone Makonda ndio naibu Rais na ni rahisi kumuona
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu Zangu Mniamini Niwafanyizie Kaziahahaha,, maendeleo hayana chama
Future baada ya wewe kutoka hapo chuoniUsipotoshe kuna tuliosoma huko na sasa tupo vyuoni sasa future IPI unayoongelea labda si ya kitaaluma
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ni juhudi na kujituma kwangu maana Mimi na hao tayari tupo sawa kitaaluma kama changamoto wote tutaipata.Future baada ya wewe kutoka hapo chuoni
Wacha kasumbaaaTunalazimika mkuu. Hizi shule za serikali ni kumpotezea mtoto muda na future yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie dada yako awasiliane na namba hii 0767221344, kisha aelezee kila kinacho msibu na atapata msaada.Habari wana Jf,
Dada yangu ana mwanae alikuwa anasoma shule ya private hapo Daresalaam maeneo Ya Tegeta , sasa kuna kipindi alisimamishwa anadaiwa ada kiasi cha 320,000.
Ña yeye kwakuwa uchumi wake umeyumba akahamua amuhamishie mwanae shule ya serikali darasa la nne, sasa amejaribu kufuatilia uhamisho kule ktk shule ya private,, uhamisho upo tayari Mwl mkuu alishaufuatilia,
Lakini wamegoma kumpa mpka alipe deni lao, na Kuna kipindi kirefu mtoto walimsimamisha akawa asomi, kibaya zaidi na kule shule Ya serikali mtoto amerudishwa mpaka aende na uhamisho,
Amejaribu kuwaomba kule shule ya private ikibidi waandikishiane, bado wamegoma wao wanataka pesa ndio watoe uhamisho,
Ivi ni hatua gani anaweza akachukua, maana nahisi ana adhibiwa mtoto Kwa kosa lisilomuhusu,,
Aende halmashauri kwa afisa elimu wa manspaa ya KinondoniHabari wana Jf,