raha yenyewe ya sekundehivi tunataka raha sana ili iweje????
whaat i hate katereroi think kunyaza na katerero ni the same tofauti ni lugha tu lol!
raha yenyewe ya sekunde
Nadhani hii kitu imepewa uzito mkubwa mno kuliko ilivyo.
Khah!
Ningeshangaa kama nisingeona comments za Smile na Kongosho kwenye hii "sredi"!