Ooh ok acha nimtumie jamaaYako ni kama hiyo nyeusi umeona tofauti?
Mkuu kama bado haujapata ile pressure sensor.......Jamaa yangu kaniambia amezileta na picha ndio hii so let me knowYako ni kama hiyo nyeusi yangu ni hiyo ya blue
www.beforwad.com!Wadau wa JF yoyote mwenye ufahamu kuhusu website nzuri kutoka Japan nayoweza kununua spare parts (pressure sensor) kutoka Japan.
Maana nimeishanunua used mara mbili kutoka Kenya zinafeli nataka nijaribu Sasa kununua mpya kutoka Japan mdau anejua njia nzuri zaidi ya kupata hako ka sensor from Japan direct
Niliagiza ila bado haijafika naitegemea kuipokea next weekMkuu kama bado haujapata ile pressure sensor.......Jamaa yangu kaniambia amezileta na picha ndio hii so let me know
View attachment 3652548View attachment 3652549
Tatizo gharama ila wachekiWacheki beforward niliona kuna huduma hiyo
Ok poa.Niliagiza ila bado haijafika naitegemea kuipokea next week