Kununua software kwenye NOKIA OVI STORE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kununua software kwenye NOKIA OVI STORE

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by KIBURUDISHO, Jun 22, 2011.

 1. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Wandugu poleni na mikikimikiki ya mchana ya kujipatia mkate wa siku.Naombeni mnisaidie ni jinsi gani naweza kununua software mbalimbali kutoka kwenye NOKIA OVI STORE? Tafadhali naombeni msaada wenu.
   
 2. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280

  Attached Files:

 3. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Nikiwa na akaunti ktk benki ya CRDB naweza kununua?
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  Labda, kuna watu wanasema Ovi store inakubali baadhi ya debit card kama Visa Electon, ila naona Nokia hawajaliweka wazi hili. So nakushauri ujaribu kama una Debit Card yenye Visa electron, au ile ya Mastercard sijui inaitwaje jaribu tu.
   
 5. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  pole mkuu!!

  "why keep a cow if you can get free Milk"

  mkuu uki taja hizo software hapa jamvini unaweza ukapewa bureeeee

  taja software gani unataka na aina ya simu yako mkuu.!!

  i think i can help you and give it to you for free
   
 6. zolong1

  zolong1 Senior Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 143
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Ndio unaweza(visa na mastercard) lakini unabidi unajisajili crdb kama haujajisajili kutumia huduma ya kununua vitu online.mimi nanunua softwares kwenye ovi mara kibao na visa card yangu,its easy
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,776
  Likes Received: 7,094
  Trophy Points: 280
  sharobaloooo si zote wazipata bure, ntaftie facebook ya nokia e71 ipo only available ovi store. Mimi nafanya transaction na card yangu ya crdb fuata mtiririko huu

  1.nenda bank mapokezi watakuelekeza mhusika anaeshughulika na hayo mambo

  2.mhusika atakupa fomu utajaza na aina ya transaction utaitaja

  3.baada ya masaa 24 utaweza tumia kadi yako kwa internet then nafkiri after week yajifunga tena

  crdb na benki nyengine wameeka hivi kutuprotect na dunia ya mahackers la sivyo tungelizwa kila siku.

  Labda kuwatahadharisha account namba ya ki interner na security si zile za atm jamani ficheni kadi zenu yale manamba meeengi pale mbele ndo kadi no na herufi 3 za nyuma ya kadi ndo security, be careful na hackers ila ovi store ipo safe 100
   
 8. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  hyo fb ya e71 ipo sana tu na huwa haifany kaz.. Huwa inaandika tu 'API error' au invalid API learn hw to use google au hta bing!
   
 9. Jayfour

  Jayfour Senior Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Email notifier for nokia e71, symbian 60. Thanx in advance.
   
 10. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  MKUU,

  labda kama wewe unataka hiyo hiyo tu!!

  kama tatizo ni face book...nakushauri utumie "SNAPTU"
  usitishike na jina mkuu hii kitu so far hakuna mpinzania tena unaipata ovi for free au fungua

  Get Snaptu utaipata

  au kama unataka kuchart facebook kwa kutumia simu yako pia fungua

  Facebook Chat by mSonar - 4shared.com download free

  na yenyewe pia inapatika hapo ovi for freee.

  au kuna kitu gani special na hiyo software ya facebook...mi nimejaribu na watu wengi wanalalamika kuwa ina leta error alizo zisema mkuu hapo juu.

  so hapo vipi....bado wataka fanya payment!!

  Yaani hiyo ni mwisho wa mambo yote
   
 11. SHAROBALO

  SHAROBALO JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 780
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Mkuu hii feature ipo by default kwenye e-series...kwanini usiactivate tu. unajaza pop.server ya email yako tena ina wizard ambayo inafanya kila kitu wewe wajaza username na password yako tu!! ukitaka kudownload ile ya kwenye ovi nadhani ni kwa watumiaji wa yahoo plus ambayo ni gharama nyingine.

  mi nilitumia hii ya kwenyesimu na kila email ikiingia inatokea kwenye simu yangu na kunipa msg kama vile ni text ya kawaida.

  soma manual how to activate it mkuu..ni rahisi na raha sana.
   
 12. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #12
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Original E71 ni Symbian Series 60 v 3.1, Facebook application zake zipo na si lazima zitoke Ovi Store (By the way, ovi store itabadilishwa hivi karibuni na kuitwa kitu kingine!!). Ovi store is mainly for convenience, but as long as the file extension is .sis, unaweza ukadownload na kuinstall mwenyewe, via USB or OTA (over the air). Lakini ndiyo hivyo tena, mtu inabidi uwe makini na rogue applications.

  Kuna moja iko hapa: Facebook s60v3 .sis - Download from rapidshare.com - needfile.net


  Benki za Bongo kutoruhusu mpaka mtu uombe kibali cha kutumia online, ni kukimbia majukumu yao tu ya kulinda wateja wao online!!

  Kuhusu Ovi store kuwa safe, ni sawa kusema hivyo, lakini kusema kuwa kitu kiko safe 100% huku ni kuchuuzana!! Hamna kilicho 100% safe online!! Ovi store yaweza kuwa safe kwa kiwango kikubwa, lakini network yako hapa bongo ikawa na vulnerabilities kibao, hivyo kufanya shopping online totally insecure pamoja na kuwa end point websites ziko safe kwa kiwango kikubwa.
   
 13. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Licha ya hiyo Snaptu (nimeitumia kwa kama mwaka mmoja na nusu hivi), kama mkuu wetu mmoja alivyoleta hiyo ramani hapo juu, Nokia wameruhusu application za bure kwa region yetu, sasa mambo ya credit card yanini wakati application yenyewe ya fb haihitaji kununuliwai?!
   
 14. Jayfour

  Jayfour Senior Member

  #14
  Jun 23, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 115
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Shukran kwa maelekezo, acha niyafanyie kazi sasa hivi...
   
 15. Cestus

  Cestus JF-Expert Member

  #15
  Jun 23, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 1,000
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  pia kuna gravity...na yenyewe ni nzuri sana...unapata na twitter.
   
 16. c

  chante Senior Member

  #16
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 175
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  nina nokia xpress music 5130, nataka pata adobe reader / pdf reader naweza ipata?ovi ipo ila cjajua namna ya kui2mia! na je,naweza download youtube videos?nafanyaje?naomba msaada wenu!
   
 17. M

  Mshipi Member

  #17
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hey nikitaka kudownload ovistore inaandika conflicting application na nikajaribu kudownload simu inazima ni kwasababu gani, how to solve it.
   
 18. c

  cc_africa Senior Member

  #18
  Jun 24, 2011
  Joined: May 30, 2010
  Messages: 121
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hy mi najua njua njia ya kudownload without pay kwa vitu vinavyouzwa. Ngoja niingie mitaboni nitawajuza muda c mrefu
   
 19. KIBURUDISHO

  KIBURUDISHO JF-Expert Member

  #19
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 954
  Likes Received: 79
  Trophy Points: 45
  Asante sana kwa michango yenu sikuwepo hewani nilikuwa porini net huko haipo kabisa.Software nilizokuwa nataka ni SYMB RECODER niliyonayo ilikuwa ya bure muda wake umekwisha inarekodi mazungumzo kwa dk1 tu maongezi mengine hayarekodiwi.Ya pili ni blacklist niliyonayo ya bure ina nafasi ya mtu mmoja tu.Na nyingine nzuri zinazopatikana kwenye OVI
   
 20. kinyoba

  kinyoba JF-Expert Member

  #20
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 1,238
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  muwe mnaeleza na simu mnazotumia ni za aina gani, nadhani mtapata msaada mzuri zaidi, simu zingine sio compatible na hizo fitures thats y zinazimika zenyewe.
   
Loading...