Kununua ngono vs kumiliki mchepuko

% kubwa ya females ni wadangaji, sema tu hatujui yaliyopo mioyoni mwao. Hata hawa tunaoona wapo na baby zao wanadanga pia, so kujiuza ni suala pana sana. Hasa wadada wa mijini ni hatari.
Unakuta mwanamke hana kazi, ila kapanga apartment analipa 300,000 kwa mwezi plus bills kibaooo za kusolve but hakai mtaani akijiuza, Huyu ni hatari na gharama zaidi ya yule wa barabarani kwani yule wa barabarani pengine huchukua hatua za kujikinga na magonjwa ila huyu sidhani!
 
Bora mchepuko.
Kwa malaya wana masharti kweli.
Style moja,ukishika kiuno unapigwa makofi ya mikono, ukichelewa unaitiwa wamasai.
Bora mchepuko.
Unapiga shoo unavyotaka wewe.
Hata ukimpa elfu 5o kihalali kabisa.
 
Unajua najiuliza what if kusingekuwa na:-
HIV
Hepatitis
Gonorrhea n.k
Raia tungejiachia sanaaaa
 
Ikimbie zinaa ili uweze kuona ufalme wa Mungu.

Kumbe bado watu wanahudumia michepuko, achana na mademu cheapest wa mtaani wasio na kazi ya kufanya, au wana vyuo hutokaa utoe pesa za kodi, saloon, na chakula
 
Najuta kufungua huu uzi
Badala tuonane zinaa mbaya ndio kwanza tunai glorify so sad....[emoji26][emoji26]
 
Wewe mwenyewe ndio wale wale tu maana bado unakomalia huu uzi mpk unakomenti. Kwanza hamnaga mlokole humu JF maana kama mlokole kweli usingeandika jina feki
Sawa asante kwa kutimiza wajibu wako wa ku comment [emoji16]
 
Wewe mwenyewe ndio wale wale tu maana bado unakomalia huu uzi mpk unakomenti. Kwanza hamnaga mlokole humu JF maana kama mlokole kweli usingeandika jina feki
[emoji23][emoji23][emoji23]..
 
Mkuu umalizaji wako unenifanya nicheke kwa sauti,
Kwamba lazima [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vp kuhusu mchepuko ambao ni mke wa mtu?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…