Wakuu nisaidieni hili, nina sh550,000 je? Naweza Kupata Laptop ya DELL aina ipi iliyoimara.
dell vostro ...hii ndio mashine naweza kukushauri...kariakoo inachezea 550000 mpaka 650000...Wakuu nisaidieni hili, nina sh550,000 je? Naweza Kupata Laptop ya DELL aina ipi iliyoimara.
Utapata i3 core , hapo ni kwa kubembeleza ila dualcore utapata mpya, Ram 2GB-4GB, Hd 120-300 GB . Ila haujataja matumizi ya hiyo computer, maana kwa kazi nyepesi hadi ngumu kiasi hizo specs zinafaa ila kwa wale wa kazi nzito hizo zina freeze.
dell vostro ...hii ndio mashine naweza kukushauri...kariakoo inachezea 550000 mpaka 650000...
View attachment 168921View attachment 168922
ipi inafaa kwa kazi za nzito za mainginia na suveyors?nipe na bei yake hapo mjini
dell vostro ...hii ndio mashine naweza kukushauri...kariakoo inachezea 550000 mpaka 650000...
View attachment 168921View attachment 168922
Pia waweza chukua LENOVO B590 -> HDD 500GB, RAM 2GB ,DuoCore ,Hii utaipata kwa 530'000
lakini tatizo 1 tu, si nzuri kwa wale wa chuo kwenye mambo ya presentation.