bulajunior
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 624
- 895
Naomba elimu wakuu katika hili.Naumiza kichwa jinsi kunasua maisha yangu na ya wazazi wangu jamani 🙏🙏🙏
bond zipoje hizo mkuuKama una maisha magumu ningumu kutoboa kwa hisa mkuu. Angalau Bond zinaweza kukusaidia. Je ukinunua hisa leo kesho zikashuka maisha siyatazidi kuwa magumu?
Kwanza unatakiwa kufahamu kuwa ukinunua hisa kwenye benki nawewe unakuwa sehemu ya wamiliki wa hyo benki ila inategemea hisa hzo umezinunua wakati benki inaziuza kwa mala ya kwanza (primary market) ukizinunua hisa katika soko ili wewe utakuwa ordinary shareholder. Benki ikisha wapata ordinary shareholders hisa zao zote usajiliwa soko la upili yani secondary market ambayo kwetu ni soko la hisa la dar es salaam(DSE) kwahyo hisa zikiwa sokoni zinaweza kupanda na kushuka kwahyo the higher the demanda the higher the price. Mfano hisa za crdb ziliingia sokoni zikiwa zinauzwa shilingi 100 kwa hisa moja ila sasa hv hisa moja inauzwa 760 kwahyo aliyetoa milioni 5 ili ujue mpaka sasa hv amepata faida kiasi gani chukua milioni tano zidisha na bei ya hisa kwa siku ya leo. Benki ya mwalimu hisa zake ziliingia sokoni zikiwa zinauzwa shilingi 500 kwa hisa mwaka 2016 kama sio 2015 ila sasa hv hisa moja inauzwa shilingi 320 kwahyo mtu aliyetoa milioni tano kipindi hicho kununua hisa za benki ya mwalimu unaweza kuona amekula asala kiasi gani? Kwahyo wewe ukienda kununua hisa utaenda soka la hisa la dar es salaam utawaona mabroker (madalali) wamesajiliwa utasema unaitaji hisa kiasi gani na za benki hipi alafu wao watakufanyia mchakato. Ukifanikiwa kuzinunua wewe sasa utakuwa preferred shareholders. Tofauti kati ya ordinary na preferred moja kubwa ni kuwa ordinary ni wenye kampuni wakati preferred ni liability kwa kampuni kwahyo ata tukipata faida tunalipa kwanza preferred shareholders ata kama kampuni ikifilisika tutauza mali za kampuni kuwafidia preferred. Asante na karibu nipo mtahani na sina kazi napiga tu deiwaka.Tafuta kwanza Elimu kuhusu Hisa, ukishaelewa hisa ni nn na zinaoperate kwa namna gani, ujiasses malengo yako then ukiona inakufaa ndio unaanza kuwekeza… Usiwekeze kabla hujapata elimu yake
Nilitaka nikutafte kiofisi,baada ya kuona hivi nimeahirisha 🙌Asante na karibu nipo mtahani na sina kazi napiga tu deiwaka.
Nitafte nikupe madini ninajitaidi kwenye swala zima la uwekezaji kuanzia real estate,hisa bond fixed-income na mambo mengine mengi.Nilitaka nikutafte kiofisi,baada ya kuomba hivi nimeahirisha 🙌