Hayarekebishiki?......hata ukinunua jipya ukalitumia kama sio mtunzaji, litakuwa bovu tu.
Hujaona watu wananunua magari ya zaman kama Land Rover, Peogot na kuyarekebisha?
Muhimu anunue Kwa bei reasonable arekebishe kama Lina tatizo maisha yaendelee. Naamini hakuna gari lisilorekebishika kama utalipeleka kwa Fundi sahihi.