Futota
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 521
- 88
ndugu wana JF, nataka kununua gari dogo (used) nina US $ 3,000 mkononi ambazo naweza kutoa kama downpayment katika mkopo na kulipa kidogo kidogo kwa mwezi kiasi fulani hadi kumaliza deni la manunuzi. nahitaji gari dogo (sedan) ili nifanye biashara ya taxi, driver mwenyewe.
hapa dar nifike yard gani/ wapi wenye kukubali deal ya namna hii?
labda pia nitahitaji nini zaidi kufanikisha hili?
asanteni sana kwa ushauri
hapa dar nifike yard gani/ wapi wenye kukubali deal ya namna hii?
labda pia nitahitaji nini zaidi kufanikisha hili?
asanteni sana kwa ushauri