Hivi let say una mpenzi wako ambae mko mikoa tofauti,afu ikatokea mkazinguana kidogo hali ambayo ikapelekea mkanuniana..je nikitaka kuanza kujipendekeza kumsemesha,nitaingia na gia gani wakuu?

Mkuu Perry natoka nje ya kesi yako kidogo, ila tabia ya kununa nuna siipendi, huwa nashangaa sana mwanaume akiwa mtu wa kununa nuna. Kitu kidogo jitu limenuna
mmmhh kununiana sio issue maisha yenyewe haya mafupi mno, kwa nini kujipa stress. Umenikosea nimekukosea nipe hapohapo makavu live tukiwa wenyewe lakini sio mbele ya kadamnasi, tukitoka hapo yameisha.