CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Ukiwa na Shida yoyote ileJf mimi ninasumbuliwa na tatizo la kutokwa na harufu mbaya kwenye miguu.najitahidi kuosha miguu na kuvaa viatu ambavyo sivyakufunika ila bado inaendele, kama kuna mwenye kujua dawa naomba msaada Wako/wenu.
Hata si ukaguzi lakini kwanini hamkagui socks zenu na zilizotoboka mtupe?Kulikuwa na ukaguzi wa soksi mkuu??!!Anyway inakera sana kiukweli
Limekupata nini mkuu, lilikuwa jiwe tu halina mlengwa?Ungesema baadhi ya wakaka siyo wote.
Maisha magumu sana mkuuHata si ukaguzi lakini kwanini hamkagui socks zenu na zilizotoboka mtupe?
Hahahahh napingana na wewe kwa sababu sinukagi na haitatokea hata siku moja Mkuu.Limekupata nini mkuu, lilikuwa jiwe tu halina mlengwa?
Matatizo hawana mihuri usoni, ni mpaka mfike pa kufika akivua viatu utafikiri kuna panya alifia kwenye viatu.He! Kumbe na wewe Sky Eclat huwa unaingia sehemu na wakaka wanaonuka viatu (miguu) any way uje utoke na mimi, ikitokea nami nikanukisha miguu uprove!
Kama ni ugonjwa si utibiwe? Unakuta amealikwa ubwabwa wa shughuli huku kwetu Kwamtogole lakini mwanaume anafikiria jinsi ya kuvua viatu.Pole sana wengine...hili tatizo sometimes unakuta ni ugonjwa..
Anzisha thread nyingine, hapa tunaongelea socks zilizotoboka na miguu inayonuka.Nyie mbona papuchi zinanuka hatusemi