Je, dada zetu wanadeal vipi na hali kama hii katika mahusioano yao? Haswa tukizingatia kwamba mke au rafiki lazima anajuwa kilema cha mume au boyfriend wake. Je, wakina dada wanawaambia ukweli waume na marafiki zao ili kukabiliana na hili TATIZO?
Wakuu naona kipengele hiki kimesahaulika, mimi naona hapa kuwa harufu hizi si mbaya kwa wote kwani nimepata kusikia kutoka kwa mmojawapo akisema kuwa akimnusa mpenziwe kwapani basi anajihisi kusisimka zaidi. Haijalishi ananukia au ananuka. Kwake anaona raha tu. Lakini kwa vile pia katika jukwaa hili wapo kina dada wengi, nadhani wanaweza kuthibitisha hili.
Kabisa kabisa, wengine hutumia mouthwash tu, akishapiga pafu mbili tatu za sigara na kahawa huyoooo... hana hata haja ya kupiga msawaki.
Lakini, haiondoi ukweli kwamba kuna watu vikwapa vyao hunuka kupitiliza.
Heri ya anayekoga lakini anajipulizia deodorants au kupaka roll-ons kuliko yule anayekoga lakini hajisugui kikwapa (hata kwa limao), ukimfunua kwapa limejaa minywele na rangi imegeuka ya kahawia...
1. kipande cha ndimu unasugua kwapani ukimaliza kuoga kinaondoa harufu.
2.Nyanya unaisaga then unapaka kwapani nayo huondoa kikwapa.
3. sufuria uliyosongea ugali unailoweka, yale maji uliyolowekea unapakaza kwapani mara utokapo bafuni
Zipo njia nyingi za kiasili, ila inategemea na jinsi mtu alivyo, kwani wengine ni wabishi hujidai hawana kikwapa wakati wanachefua wenzao, na sio kikwapa cha kwapani tu hata kikwapa mdomoni, ila utakuta mtu anajisifia kbs kuwa yeye hana kikwapa, tofauti na mtu mwingine ukijihsi tofauti tu unaendakupiga mswaki.
Nina rafiki yangu mmoja wa kizungu, yeye anatoka na wanawake weusi tu, nilipomuuliza kwanini anapenda pussy nyeusi, akanijibu weusi ni wasafi sana kuliko weupe,kwasababu tunajihisi tunanuka kwahiyo tuna kuwa na extra care kuhusu usafi wa miili yetu.wa IRISH wanaoga once a week tena friday, sasa sijui hapa nani ananuka.
wao wananuka ndio maana wakagundua ma deodorant na maperfume ili kuficha harufu
Jamani naomba msaada kwenu kwa anayeifahamu dawa ya kumaliza tatizo hili kwa sababu ninaye mtoto wa miaka 11 wa kike anasumbuliwa na tatizo hili hata atoke bafuni kuoga au ni ugonjwa wa kurithi?!
Huo ushauri wa ndimu apake wapi, kwenye kucha au nyayo? wakati umeambiwa tatizo ni mwili mzima. Hayo mawazo ya kisiasa muwe mnayaacha huko huko kwa waganga wenu wa kienyeji. Tatua tatizo kwa mawazo yaliyo hai.
Awe anapaka ndimu.
Kweli kabisa, tena sehemu zote zinazotowa jasho, kila akioga ajisuguwe na ndimu, kwapani, shingoni, sehemu nyeti, na kwa kuwa bado ni mdogo mama yake anaweza msaidia kwa kumsuguwa ndimu.
Inawezekana ni tatizo linalotokana na mtoto kukua na mwili wake kutoa hormones nyingi....."adolescence/ puberty stage" pengine hali hii itapungua jinsi anavyokua..lakini kwa sasa atumie body deodarant roll on za kupaka kwenye kwapa na deodarant body sprays za kupulizia mwili mzima!! (sio perfume)
Deodarant zenye aluminium chloride hexahydrate kama DRICLOR ambazo hufanya kazi masaa 24 ndizo zinafaa zaidi (sina uhakika kama zinapatika tanzania).