Na mimi pia naipendaJamani hii harufu naipenda sana kuisikilizia, huwa sipendi kabisa kuona shemeji yenu anatumia deodrant, na mara nyingine huwa nazificha ili nipate kusikia hii harufu, sometime akilala huwa naweka pua yangu kwapani kwake nisikie vizuri harufu hii, nimekuwa kama teja. Hivi hii kitu kuna wengine wenye kupenda?
Asante sana mkuuTumia Hii Deodorant Inaitwa Fogg
Zina Changamoto Upatikanaji Wake Sijajua Upo Mkoa GaniAsante sana mkuu
Nipo mkoa ManyaraZina Changamoto Upatikanaji Wake Sijajua Upo Mkoa Gani
HahahahaNyoa minyoya hiyo wwe bwege acha ujinga
Asante sanaJitibu kwa ndani. Safisha system yako. Kunywa maji mengi, juice fresh, madafu nk.
Safisha kikwapa hicho. Sugua na kipande cha limao ukishaoga.
Fyeka msitu kama upo.
Acha kurudia nduo. Zifue kabla hujavaa tena na uanike juani
Sina pori mkuu ila kikwapa kinatema mkuuHahahaha
Sijui Kama ZinapatikanaNipo mkoa Manyara
Kuna dawa moja naifanyia utafiti, kama upo tayari kuitumia kama kushiriki utafiti njoo inboxWakuu nisaidieni dawa, ziwe za mitishamba au za kitaalamu kundoa hili tatizo la kunuka kwapa mpaka naona aibu kuwa na wezangu karibu , nimejaribu kutumia tangawizi, limao na asali kwa kusaga na kuweka kwenye kwapa lakini tatizo bado.Msaada ndugu zangu
Nakuja bossKuna dawa moja naifanyia utafiti, kama upo tayari kuitumia kama kushiriki utafiti njoo inbox
Daaaah ili tatizo sipendi ata kulisikia afu mtu akiwa ananuka mdomo ata ye hajui..ndo mana me nikihisi mdomo kama kunuka tu najitafnia zangu babrishi..basiBora kunuka kikwapa kuliko mdomo
Acha kuwa mtumwa wewe, unapajua inbox au unataka na mengine