salaam sana wana jf!. Kwa jina naitwa kidaudau. Naomba kuungana na wadau wa bidhaa ya kuni.
Nauza kuni za miti ya mitiki, tani 3 kwa shs 200,000/= tu za kitanzania pamoja na kibali. Kuni zipo Boko temboni, 2kilometers kutoka hospitali ya tumbi kibaha pwani. Kuni zipo nyingi zaidi ya tani 30.
Naomba kuwakaribisha wadau wote! (wauzaji na watumiaji).
simu 0786 243 532.
Karibu sana!!!