Kuni zinauzwa

Kuni zinauzwa

fmlyimo

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2012
Posts
331
Reaction score
210
6.jpg

Kwa wale wafanya biashara ya kuni au watumiaji wakubwa wa kuni kama viwanda, vyuo au shule.
Napenda kuwatangazia kuwa upo mzigo mkubwa wa kuni zaidi ya tani 200.
Mzigo upo Dar es Salaam.
Ni kuni za miti migumu zinazowaka vizuri na kwa muda mrefu.
Tunauza kwa uzito, tani moja ni shilingi 120,000/=
Vibali vyote vipo.
Karibuni sana.
fmlyimo@gmail.com
0659890000
 
View attachment 1286674Kwa wale wafanya biashara ya kuni au watumiaji wakubwa wa kuni kama viwanda, vyuo au shule.
Napenda kuwatangazia kuwa upo mzigo mkubwa wa kuni zaidi ya tani 200.
Ni kuni za miti migumu zinazowaka vizuri na kwa muda mrefu.
Tunauza kwa uzito, tani moja ni shilingi 350,000/=
Karibuni sana.
fmlyimo@gmail.com
0659890000
Mimi niko China. Niletee tani mbili. (Nimeandika hivyo ili kukumbusha kuwa unapoweka tangazo la bidhaa ni vizuri ukasema uko wapi.)
 
Huyu nae eti ni mfanyabiashara....!!

Kwa uandishi huu Nina wasiwasi kama una vibali OG. toka mamlaka husika....
 
Tani 200 x 350,000/- = 70,000,000
watu wanachukulia kuni poa.wakati utapiga hela kuliko mkulima wa korosho.

sema swali . je unatoa risit za EFD? maana serikali Inahitaji mapato hapo pia.ukiacha hivyo vibali na lesseni ya kukatia hiyo miti
 
Vibali vipo kamili kabisa.
Huu mzigo ungekuwa wa magumashi nisingesubutu kuutangaza humu, kwani najua watu wa mazingira kama nyie mpo humu ndani.
 
Kwa wale wafanya biashara ya kuni au watumiaji wakubwa wa kuni kama viwanda, vyuo au shule.
Napenda kuwatangazia kuwa upo mzigo mkubwa wa kuni zaidi ya tani 200.
Mzigo upo Dar es Salaam.
Ni kuni za miti migumu zinazowaka vizuri na kwa muda mrefu.
Tunauza kwa uzito, tani moja ni shilingi 350,000/=
Vibali vyote vipo.
Karibuni sana.
fmlyimo@gmail.com
0659890000
Kwa bei hiyo, usafiri included?
 
*Ofa ya Xmas na Mwaka Mpya*
Punguzo kubwa la bei ya kuni.
Jipatie tani moja kwa 120,000/= tu.
Mzigo upo Dar, una vibali vyote vya serikali.
Wahi mapema kabla mzigo haujaisha.
Karibuni sana.
0659890000
fmlyimo@gmail.com
 
Attachments

  • 1.jpg
    1.jpg
    121.4 KB · Views: 5
Kuni zote hizo za nini? Wakati raia hawana hela ya nauli za kwenda vijijini, acha hela ya mbuzi wa xmass.
 
*Ofa ya Xmas na Mwaka Mpya*
Punguzo kubwa la bei ya kuni.
Jipatie tani moja kwa 120,000/= tu.
Mzigo upo Dar, una vibali vyote vya serikali.
Wahi mapema kabla mzigo haujaisha.
Karibuni sana.
0659890000
fmlyimo@gmail.com

Haya mgogo si yameshikiliwa hapa bandarini?

Unayauza vipi sasa
 
Wale wenye shule zinazohudumia mambo ya misosi, muda huu wa likizo ni muda muafaka wa kuandaa kuni za kutosha. Shule zikifunguliwa maswala ya misosi yanaendelea bila kusuasua.
Karibuni sana mjipatie kuni za ukweli kwa bei nafuu sana.
 
Back
Top Bottom