Anadonoa akili yako kidogo kidogo anenda kuiuza apate hela. Una akili nyingi sana mkuu?Habarini! hivi hili swala la kunguru kukudonyoa kichwani Lina maana gani? Mara ya kwanza kunitokea nikafikiri kwa vile nilivaa shati jeusi, lakini Leo pia imenitokea Cha kushangaza ni Mimi tu wengine hawadonyolewi
Soma Bible juu ya zile ndoto mbili Joseph alitafsiria wafungwa wenzake akiwa gerezani.
Kasome biblia mwanzo habari za Yusuphu alipofungwa gerezani akakutana na wale wafungwa watatu walioota ndoto na yusuphu akawatafsiria! Mmoja aliota ndoto km hii japo we sio ndoto ila anzia hapo utaelewa!Habarini! hivi hili swala la kunguru kukudonyoa kichwani Lina maana gani? Mara ya kwanza kunitokea nikafikiri kwa vile nilivaa shati jeusi, lakini Leo pia imenitokea Cha kushangaza ni Mimi tu wengine hawadonyolewi
Utakuwa umewahi kuharibu kiota chao au kuua kunguru, kunguru wakikujua wanafahamishana na wako makini sana kukutambua na huitana wakikuona hata ukijaribu kujibadilisha kimavazi, ukitaka wakuogope beba manati.Habarini! hivi hili swala la kunguru kukudonyoa kichwani Lina maana gani? Mara ya kwanza kunitokea nikafikiri kwa vile nilivaa shati jeusi, lakini Leo pia imenitokea Cha kushangaza ni Mimi tu wengine hawadonyolewi
Utotoni niliwahi kukamata kitoto cha Kunguru, aisee wale Jamaa pamoja na kukaachia katoto kao ila waliniwekea Bifu karibia wiki nzima, kila nikikatiza maeneo yao walikuwa wananivagaa na kunipa ambush hasa maeneo ya kichwani.. Ikabidi nibadilishe njia Kwa muda..Je ulishawahi kuua kunguru au kumpiga kinda wa kunguru
Ova
Huenda hii ndo sababu hata me nimewahi kudonyolewa na kunguru miaka ya nyuma mitaa ya masakiAngalia mti uliokaribu waweza kuta Kuna makinda yake kwaiyo ni Kama anayalinda usiqaze negative
Dhulma ni mbaya sana lipa hela ya chumba cha watu umekulaHabarini! hivi hili swala la kunguru kukudonyoa kichwani Lina maana gani? Mara ya kwanza kunitokea nikafikiri kwa vile nilivaa shati jeusi, lakini Leo pia imenitokea Cha kushangaza ni Mimi tu wengine hawadonyolewi
Vita vyao haviishi 😂Utotoni niliwahi kukamata kitoto cha Kunguru, aisee wale Jamaa pamoja na kukaachia katoto kao ila waliniwekea Bifu karibia wiki nzima, kila nikikatiza maeneo yao walikuwa wananivagaa na kunipa ambush hasa maeneo ya kichwani.. Ikabidi nibadilishe njia Kwa muda..
Hahahahakichwan apo pamekaa vizuri kweli maana anaweza donoa akazan ni msosi kumbe sio ni kichwa cha mtu nyoa kibara uone kama atadonoa inawezekana nywele zimekaa kama chakula cha kunguru
Hahahahakuna punje ya ubwabwa/wali ilikua kwenye nywele zako ndiyo kunguru ameamua kukusaidia kufanya usafi kichwani.
Huyo Kunguru ni mchapa kazi kweri-kweri
HahahahaWana bifu na wewe, wanyama huwa hawasahau..kuna mahali uliwahi kuwafanyizia wakakukariri
HahahahaMkuu me nahisi kitu,
Unaweza kudhani unakichwa cha binadamu kumbe unatembea na dumple la takataka bila wewe kujua. Kwanini wewe tu? Mkuu huna kichwa cha binadamu. Me nahisi hivyo