KUNGURU 3 NI WABAYA SANa

Mm naona bora urp kuliko hao wengine hawa asia ni hatari sana wakifuatiwa na us
 
hivi sisi Afrika tuna shida gani? Ni weusi wetu ndo shida au weupe wao?
 
Jibu unalo. Hebu jichunguze kwa makini halafu chunguza jamii iliokuzunguka.

naona uchoyo, unafiki, roho mbaya, kubaniana fursa, uroho wa chakula, ulafi wa madaraka, rushwa, ngono, vita, kununiana, kuchukiana, kupoteza muda jf na vijiweni, umbea, usingenyaji, kujituma kwenye mapenzi kuliko kwenye kazi, uzembe, uzandiki, kukwepa kodi, madawa ya kulevya, kutokusali, kutokupenda kusoma, viongozi wabovu, kung'ang'ania madarakani miaka nenda rudi etc etc etc
 
Tumeisha kwasababu hao kunguru ni maadui zetu wakubwa sana!

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
moja ya sifa ya kunguru ni kwamba wao ni scavengers
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…