unawajua kunguni ? haukusikia brazil na amerika hata kwa moto hawafi hatare sanaDawa yake chukua omo ya kutosha weka kwenye maji ikikolea nyunyisia sehem unayohisi wapo.wanakauka fasta.[/QUOTE ]
nawajua kunguni ? haukuzikia brazil na amerika hata kwa moto hawafi hatare sana
l hatati aisee unanitisha sanaMi naona jamaa hawafahamu kunguni! Anawasikia tu! Kunguni hawafi ovyoovyo! Chukua blanketi lenye kunguni, loweka kwenye maji wiki nzima, ukifua, ukalikausha bado unao!! Hawatoki! Mpaka mayai yao yanajizalisha katika mazingira yoyote!
hii kali sana zali ninaloNiliwahi kusoma makala moja iliyotolewa na BBC inayosema " Jeshi la Uganda lapigana na kunguni" nikadhani in mzaha, lakini kunguni wanauwezo wa kuhamisha brigedi nzima ya Jeshi kwenda sehemu ingine vitani kwa kuhofia Usalama wao. Kunguni wananguvu kuliko AK47[emoji2] [emoji3] [emoji3] wanafanya mashambulizi kimya kimya usiku bila kuwaona. Wanashambulia haraka na wepesi kukimbia chap! Kunguni ni soo. Niliwahi kulala macho pale Kahama ndani ya guest nikawaachia kitanda mpaka asubuhi! Kunguni ni nuksi! Uliza Jeshi la Uganda watakwambia. Usicheze na kunguni.
Jaribu kaka then utaniambia....lala taa inawaka...mwanga Una wafanya wanashindwa Ku patrol vizurikweli mkuu?
Ume wapa Elimu safiiiiMaji ya moto sio suluhu na yanasababisha mayai yao kuvunjika hivyo hupelekea wadudu hao kuzidi.Kutozima taa inasaidia kidogo japo sio sana manake wanapenda utulivu zaidi.
pia wanapenda sana net na msongano wa vitu vilevile wanapendelea vumbi na joto.
Kwahiyo jitahidi kuepukana na hivo vitu.
Jaribu kutafuta dawa hasa Nairobi kwasababu ndipo suluhu ilipo.
Shukran.