zenji hususan ni Pemba ila kwa k=ukanda huo nimeeleza na sababu iliyofanya washamiriteh teh teh
Mkuu umetutusi sisi wa kanda ya ziwa.
Kunguni wako kila mahali, Darisalama maeneno ya manzese, Mwananyamala, Kigamboni kunguni wapo.
Zenji wamejaa, kila mahali nchi hii wapo.
Mie niko huku miaka mingi na kazi zangu mara nyingi nakuwa field hasa maeneo ya vijijini lakini sijasikia hiyo kitu Amavubi, tena huwa kuna wakati ninalaal vajiguest mshenzi vya kijijinijijue mambo yako safi ila fanya kautafiti leo
chukua tahadhari sana mkuu na heri ufanye kautafitri utusaidie kujua chanzo maana nakuja tena huko......mimi nimewachukua huko nikiwa nafanya kautafiti na ikabidi nitafute primary you are are one among the few ila nasadiki nisemayo......naogopa nisije rudi nao umachinganiMie niko huku miaka mingi na kazi zangu mara nyingi nakuwa field hasa maeneo ya vijijini lakini sijasikia hiyo kitu Amavubi, tena huwa kuna wakati ninalaal vajiguest mshenzi vya kijijini
Kanda ya ziwa..????mmmmhhh tengua kauli Mzee....
Moja kati ya maadui wakubwa wa usingizi ni mdudu ‘kunguni’ ambaye anaweza kumfanya mtu anayepanga kujipumzisha kuhisi anaadhibiwa kwa kufinywa.
Usiku nikiwa nimelala nahisi kuna vitu vinang'ata na kutimua mbio, naendelea kulala hali inajirudia sana nahisi ni mbu tu, Nimeamka Asubuhi Naangalia Utando wa Chandarua na Kuona vitu mithili ya maua vikiranda na kuvinjari nikiangalia kwa makini nagundua io mbu kumbe ni kunguni almaarufu vi-gofu
Nauliza wenyeji asubuhi naambiwa huku kunguni wimekua kama nyumbani kwao na ni ukanda wote huu na mbaya zaidi unawakuta si Guest tu hadi kwenye mabasi hivyo huna a kuchcomokea
wenyeji wanasema kuna dawa ilipulizwa ambayo imechagiza kuongezeka kwa kunguni ukanda wote huu ingawa sijawa na hakika na hilo sana
naamua ku google BBC wansema hata Marekani Kunguni wapo na hajapatiwa dawa ya uhakika
Nawashirikisha uzi huu ili wenzangu sasa muwe makini na wadudu hawa hasa meundapo maeneo tajwa na kwingineko na jitahidi ukirudi nyumbani kila kitu mwagia maji ya moto kabla ya kuingiza ndani la sivyo na wewe utaiimba ule wimbo wa mgeni ..................
NASADIKI YOTE NILIYOYAANDIKA HAPA NA MIMI NIMERUDI NAO ...........
Duh kulala darasani hiyo si adhabu tena.
Kunguni watikisa shule ya Pugu aliyofundisha mwalimu Nyerere, wanafunzi walala madarasani
Dah.....maskini Pugu....
Kunguni watikisa shule ya Pugu aliyofundisha mwalimu Nyerere, wanafunzi walala madarasani