Unaingia saluni ya wanawake warembo unakaa kwenye sofa, mara wadudu wasumbufu wanaanza kukusumbua. Hawa wadada warembo hawaoni aibu saluni zao kuwa na kunguni?
Unaingia saluni ya wanawake warembo unakaa kwenye sofa, mara wadudu wasumbufu wanaanza kukusumbua. Hawa wadada warembo hawaoni aibu saluni zao kuwa na kunguni?
warembo waliniita niwanunulie vinywaji, kisha wakaniambia kaa hapa tunywe wote, ile nimekaa tu kunguni wakaanza kunishambulia ndio nikaashangaa inakuaje warembo wanakuwa na kunguni salunini kwao wakati dawa zipo zinauzwa za kuteketeza wadudu hao wasumbufu?
Ndio maana yake. Kabla na baada ya kuhudumia mteja, yapaswa eneo la kazi lisafishwe kwa vimiminika vyenye dawa za kuua maambukizi yote. Kama hilo halifanyiki, basi kuna wateja wataacha uchafu wao hapo na wengine wataokota uchafu huo ambao unafanya mazalia.